Yani nawafinyilia vibaya sana[emoji23][emoji23]jamaa mpka wanaita wahindi waswahili bana..komora096 hawa watu ni wajinga sijapata kuona. Wachana nao. Eti wanaforce wazungu na wahindi wawe waswahili ilhali wanasema kwamba hakuna Mkenya yeyote ambaye ni mswahili. Chuki yao kwa Wakenya imezidi
hujielewi wewe, kama uganda wanavua samaki kenya mtabaki na nini?Migingo bado iko Kenya,tena huwa hatuoigani Vita za upuzi Kama nyinyi,,mnapiga watu wa panga na rungu alafu mnajianika eti victory 🤣🤣
ndiyo nilitegemea ujiulize!Na bas inekuwaje kwa rankings hamko 🤣🤣🤣😳
Hizo zarau zenu ndo zinafanya alshabaab A.k.A vidume wakiwapiga wanawapiga kweli🙂👇👇👇👇Jwtz,,ni uharo tu kwa KDF,ata kwa rankings hamuonekani🤣🤣
Umeona sasa vile unaujinga, kenya mkoa wote wa pwani jamaa wanapiga kiswahili safi hta kuliko mikoa mingi tanzania..umegeuka ghafla sio? 100% of that 97% wanaongea kiswahili kibovu! na ulisema Waswahili ni kabila!
Nyie mnaongea Kiswahili cha kuomba maji 🙂mmezembea Sana ni aibu Congo,na burundi wanawazidi nyie kwa lugha🙂Tatizo hii umeitoa chato[emoji23][emoji23][emoji23]
Swali ni je, mbna wakenya wanaongea kiswahili wasiwe waswahili, manake ni wengi sana lkn wahindi na wazungu mnaforce waitwe waswahili ili muhalalishe kutawaliwa kwenu kwa kusingizia ujamaa
We huna ujualo, nenda kabige soga hf huwezani nayo..Usije ukabishana nasi tena kuhusu kiswahili coz hakuna unachojua,kaa kimya
Hii umeandika kw mihemko sana, yaonhesha imepenya sana..Nyie mnaongea Kiswahili cha kuomba maji [emoji846]mmezembea Sana ni aibu Congo,na burundi wanawazidi nyie kwa lugha[emoji846]
Jamaa unatudanganya nimekaa Mombasa wanaongea Kiswahili cha kawaida Sana mikindani nimefika mpaka old town labda lamu wanaongea Kiswahili kizuri 🙂Umeona sasa vile unaujinga, kenya mkoa wote wa pwani jamaa wanapiga kiswahili safi hta kuliko mikoa mingi tanzania..
Watz wangapi huku huaga wanarekebishwa wanapoleta ujuaji hadi mtu anaamua kuufyata..
Manake utakuta jamaa kaja na mbwembwe mwisho anatulizwa hadi nacheka sana..
Weiye Una hoja za ajabu Sana ukipigwa ukweli unataka huruma sasa usaidiwe VP?Hii umeandika kw mihemko sana, yaonhesha imepenya sana..
Kumchukia aliyekyzidi yataka moyo, hasa kw karibia kila kitu[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Hahahah!!nyerenyere kawalemaza ubongo kabisa[emoji23][emoji23]yani kuita mzungu na wahindi waswahili ndio sio ukabila ..Tatizo wakenya ukabila umewazidi, acheni kuchafua kiswahili chetu, labda kikenya hicho
Kila mtu unasema ameandika kwa mihemko" are you in menstruation? "Hii umeandika kw mihemko sana, yaonhesha imepenya sana..
Kumchukia aliyekyzidi yataka moyo, hasa kw karibia kila kitu[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Naona unafiki unakumaliza ubongo wako huku chuki ziki kukondesha moyo..Weiye Una hoja za ajabu Sana ukipigwa ukweli unataka huruma sasa usaidiwe VP?
Hata wewe pia umeandika kw mihemko, hii sio dunia ya kukurupuka na kuanza kujiandikia vitu tu kisa uhalalashe upuuziKila mtu unasema ameandika kwa mihemko" are you in menstruation? "
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Pole Sana, subiri kipindi chako cha "Menstruation" kimalizike ndio uzungumze na wanaumeHata wewe pia umeandika kw mihemko, hii sio dunia ya kukurupuka na kuanza kujiandikia vitu tu kisa uhalalashe upuuzi
Kiswahili cha kawaid ni kipi[emoji23][emoji23]Jamaa unatudanganya nimekaa Mombasa wanaongea Kiswahili cha kawaida Sana mikindani nimefika mpaka old town labda lamu wanaongea Kiswahili kizuri [emoji846]
Bado unazidi kuandika kw mihemkoPole Sana, subiri kipindi chako cha "Menstruation" kimalizike ndio uzungumze na wanaume
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app