Ushauri wako Ni poa sana,Izo dreamliner inaenda Mumbai bro...Target ni masafa marefu....Ukiona imetoka dar kwenda Mwanza basi ujue abiria wako wakutosha haiwezi kupack tu....
Kuna deal la kwenda China ni corona ilizingua ila tutaanza kwenda China...pia tunaroute Za Lusaka na Harare ambazo mara nyingi Airbus ndio zinakaba iyo route...
JPM aliamua kuanza miradi yote mikubwa awamu yake ya kwanza akijua kabisa ataendelea nayo hadi anatoka. ..Ndio maana amegusa sekta zote kuanzia kufufua shirika la ndege,kujenga Barabara za mijini na vijijini,Kuboresha miundombinu ya huduma za afya pamoja na kuajiri,kuboresha elimu ,Kujenga reli mpya SGR, Kufufua Za meter gauge,kupanua bandari zote, kujenga madaraja nk. ...
Kwakua alishaanza awamu iliopita sasa hivi ameshafika nusu ya safari hakuna ugumu wowote kumalizia vipande vilivyobaki