Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo wamekua wakenya sio
Sio nynyi hapa mnaotukejeli mkiona mhindi au mzungu kenya ana kampuni..
Leo mumetafuta post ya kq, wapi imesema ni pilot wao..
Ukiniletea nakubali tu, na sijakataa km hakuna ila ni wachache sana compare na kwenu..
Yani pilot na mwenzake wote wanakuaje wahindi bana
Kwani kwa ATCL wako wangapi na KQ wako wangapi hao wageni?
Hata kama tuna wahindi ni wachache mno
Mashirika mengine hadi menejimenti wamechukua watu wa nje maana wazawa hawana uwezo huo. CEO wakizungu na pilot wa kihindi
 
Leo wamekua wakenya sio
Sio nynyi hapa mnaotukejeli mkiona mhindi au mzungu kenya ana kampuni..
Leo mumetafuta post ya kq, wapi imesema ni pilot wao..
Ukiniletea nakubali tu, na sijakataa km hakuna ila ni wachache sana compare na kwenu..
Yani pilot na mwenzake wote wanakuaje wahindi bana
peleka ufala hamna hata siku moja Mtanzania anabagua Watanzania wa asili nyingine mara nyingi mnaanzisha argument hizi na huwa tunawa-prove wrong! Leta evidence sisi huwabagua Wakenya wasio weusi ! Mambo ya ubaguzi ni DNA ya Wakenya!
 
Kwani kwa ATCL wako wangapi na KQ wako wangapi hao wageni?Mashirika mengine hadi menejimenti wamechukua watu wa nje maana wazawa hawana uwezo huo. CEO wakizungu na pilot wa kihindi
Ilo kwao hawalioni na sio CEO tu unaeza kuta mpaka financial controller ni mzungu pia 🤣
 
Kwani kwa ATCL wako wangapi na KQ wako wangapi hao wageni?Mashirika mengine hadi menejimenti wamechukua watu wa nje maana wazawa hawana uwezo huo. CEO wakizungu na pilot wa kihindi
Wahindi wamejaa atcl bana, uki search kila picha hukosi chothara bana..
Sijui elimu yenu mlikoseaga wapi walai, route ya ufunguzi km hyo wanapiga ma chothara bana, kwn hamna watu weusi au bado mnasingizia umoja ndio muendelee kutawaliwa tu
 
peleka ufala hamna hata siku moja Mtanzania anabagua Watanzania wa asili nyingine mara nyingi mnaanzisha argument hizi na huwa tunawa-prove wrong! Leta evidence sisi huwabagua Wakenya wasio weusi ! Mambo ya ubaguzi ni DNA ya Wakenya!
Sasa nyie ni akina nani mpka muwabague wakenya wa asili zingine, kwhyo na sisi tuna uhuru wa kuwagua hao wahindi wanaojificha katika mgongo wa ujamaa
 
Hata kama tuna wahindi ni wachache mno
Tony nikikutukana utasema unataka kuniblock

Lakini wewe ni bonge la shenanigan na hapo bado sijamueka CEO wa KQ

Screenshot_20210125-123339.png
Screenshot_20210125-123607.png
Screenshot_20210125-123706.png
Screenshot_20210125-123757.png
Screenshot_20210125-123841.png
Screenshot_20210125-123954.png
 
Hapa umekurupuka
Rudi tena shule, tayari umeshaambiwa muacha mila ni mtumwa na nyie mkutupa mila zenu kusingizia umoja..
Kiswahili hakijakwambia utupe mila, eti mtu akiongea kikabila dar mnamuona mshamba..
Wapuuzi sana nyie...
Wanafiki km nyie duniani hakuna
Kukurupuka kwio? Kwa mfano? Mna taka kila Kabila iwe na na radio/ runinga yake? Kama nyie wazee wa ukabila? Sisi ujinga wa hivyo huwez ukakuta msela wangu na kwa unafik sidhan kama kuna mfano wenu inajulikana kote mjiangalie🙂
 
Kukurupuka kwio? Kwa mfano? Mna taka kila Kabila iwe na na radio/ runinga yake? Kama nyie wazee wa ukabila? Sisi ujinga wa hivyo huwez ukakuta msela wangu na kwa unafik sidhan kama kuna mfano wenu inajulikana kote mjiangalie
Hyo kuwa na redioa za kikabila ni hatia kw watu ambao wameshakua watumwa kitambo hta mila zenu hamzitambui kw kusingizia ujamaa na kiswahili ambacho hata mababu zenu wakifufuka ukiwaongelesha wanashtuka kwanza...

Km nyie kufungua redio ya ukabila ni hati basi mumechemka, kenya ni ya kila mtu wala si ya waswahili wala wazungu..

Kwenu nyie km kuangalia vihiindi vya kihindi na kikorea huru lkn vya kichaga hatia basi mpo usingizini
 
True Lakini Heri kupika chakula za kiutamaduni zenyu kuliko za wengine,unapata TZ huko wote wanaishi na kukula kiuswahili wote mpaka maasai,Kenya kwajili ya Utamaduni tofauti makabila flani hayaelewani na kuleta Vita Kwahivyo hatujapoteza utamaduni
daah,unaongea usichokijua........

lini ulitembelea kila kabira lilopo Tz na ukapata hizo takwimu zako.....?...

who's swahili.....?...

tuanzie hapo kwanza maana mind zenu zimestuck mnadanganyana sana
 
Hyo kuwa na redioa za kikabila ni hatia kw watu ambao wameshakua watumwa kitambo hta mila zenu hamzitambui kw kusingizia ujamaa na kiswahili ambacho hata mababu zenu wakifufuka ukiwaongelesha wanashtuka kwanza...

Km nyie kufungua redio ya ukabila ni hati basi mumechemka, kenya ni ya kila mtu wala si ya waswahili wala wazungu..

Kwenu nyie km kuangalia vihiindi vya kihindi na kikorea huru lkn vya kichaga hatia basi mpo usingizini
Kweli we limbukeni Kenya ya kila mtu? Nenda we mjaluo kajenge central uone sasa au mkikiyu kaoe kwa kisii utupe repoti wadanganye watu ambao hawajakaa Kenya 🙂Sisi mtu yeyote Yule anakaa mkoa wowote ule bila ya tatizo
 
Back
Top Bottom