[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani wakenya wanamatatizo huwa wanaongea vitu ambavyo hata hawavijui.....yaani wapo zaidi ya 10 wakati mlisema hayupo hata 1
Tanzania tupo vizuri mno kwenye hayo mambo
View attachment 1685765View attachment 1685771View attachment 1685773View attachment 1685774
Hehehe!!only in tanzaniaNa hawa sio machotara [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1685782
Umeshindwa kw pilots[emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka airhost ni wachina dadeq kwanini unemployment isiwe juuu?
View attachment 1685786View attachment 1685787
Tuletee management ya kqWamejaa wangapi? Na huko kq wako wahindi wangapi?
Na vipi upande wa management iko vipi kwa haya mashirika mawili kuwa na wageni katika uongozi na usimamizi?
Jibu swali hawa sio machotara🤣🤣👇Hehehe!!only in tanzania
Nchi ya watu weusi cabin crew ni machothara banaView attachment 1685791View attachment 1685792
yani ukiangalia fleet size ya shitika na idadi ya machothara hata ni aibu walai[emoji23]Huyu wa kushoto ni Mbantu na ndio head wa training! Najua mko weusi kama mafuta ya bunduki huko Kenya kwahiyo kila fair person ni chotara!
Niliwahi kukutana na Mkenya mmoja nilipokuwa nafanya intenship Barrick miaka ya 2008 akaniambia ati hakuwa anajua kama Watanzania wako fair, nilitamani kumkata vibao maana ndo ilikuwa salamu!
Nikajiuliza hili fala limetoka wapi?
Daaah msiba huu🙄🙄🙄Mpaka airhost ni wachina dadeq kwanini unemployment isiwe juuu?
View attachment 1685786View attachment 1685787
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao ni marubani wa boeng ambao walikuja na hiyo ndege huku wakiambatana na rubani wakitanzania hapo walitake photo tu memory hiyo....Machothara wawili wawili wakichanja mbuga[emoji23][emoji23]
Watu weusi kwn hamna jamaniView attachment 1685778View attachment 1685779
wacha kudanganya hao ni marubani wa Air Tanzania hamna tatizo kuwa na Watanzania wa asili ya Kiasia! Waache wabaguzi waendeleee kujidai nhawana watu wa asili nje ya Wabantu KQ![emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao ni marubani wa boeng ambao walikuja na hiyo ndege huku wakiambatana na rubani wakitanzania hapo walitake photo tu memory hiyo....
leo nimecheka sana much know kumbe hamna mlijualo zaidi ya kujifurahisha tu
Hapo we unaona marubani wangapi[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao ni marubani wa boeng ambao walikuja na hiyo ndege huku wakiambatana na rubani wakitanzania hapo walitake photo tu memory hiyo....
leo nimecheka sana much know kumbe hamna mlijualo zaidi ya kujifurahisha tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]wacha kudanganya hao ni marubani wa Air Tanzania hamna tatizo kuwa na Watanzania wa asili ya Kiasia! Waache wabaguzi waendeleee kujidai nhawana watu wa asili nje ya Wabantu KQ!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao ni marubani wa boeng ambao walikuja na hiyo ndege huku wakiambatana na rubani wakitanzania hapo walitake photo tu memory hiyo....
leo nimecheka sana much know kumbe hamna mlijualo zaidi ya kujifurahisha tu
Nioneshe airhost wa Tanzania alietolewa nje ya nchi, Kenya mbona hamjikubali? Mna laana ya kujibagua!Umeshindwa kw pilots[emoji23][emoji23][emoji23]
We kweli bingwa wa kuishia mitini,kama ndo style yako yakukwepa maswali kweli bingwa Sana nakupa pongezi basi Bora nikuupuze hata Mie🙂We si umesema ujaluoni mtu hawezi jenga sasa unahangaika nini tena[emoji23][emoji23]
Au bado huajalewa km nishakupuuza kitambo, we ukishaambiwa ni kijiweni tayari elewa nlikua namaanisha nini
Oya Post huyo ceo wa KQ nasubiriMpaka airhost ni wachina dadeq kwanini unemployment isiwe juuu?
View attachment 1685786View attachment 1685787
Wao wakiona mtu mweupe ni sawa wamemuona MunguNioneshe airhost wa Tanzania alietolewa nje ya nchi, Kenya mbona hamjikubali? Mna laana ya kujibagua!
Kabla ya huyu allan kilavuka alikuwepo sebastian mikosz au nasema urongooo🤣🤣Oya Post huyo ceo wa KQ nasubiri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi ni vitu gani sasa,,,,,muwe mnaongea vitu kwa kujishtukia msiwe mnaropoka ropoka story za genge,,,,,,Hapo we unaona marubani wangapi[emoji23][emoji23]