Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

daah,unaongea usichokijua........

lini ulitembelea kila kabira lilopo Tz na ukapata hizo takwimu zako.....?...

who's swahili.....?...

tuanzie hapo kwanza maana mind zenu zimestuck mnadanganyana sana
Waswahili hawa hapa, ni moja kati ya makabila ya kenya..
Kwn hko kwenu hamna waswahili nyie
images.jpeg-4.jpg
 
Kweli we limbukeni Kenya ya kila mtu? Nenda we mjaluo kajenge central uone sasa au mkikiyu kaoe kwa kisii utupe repoti wadanganye watu ambao hawajakaa Kenya [emoji846]Sisi mtu yeyote Yule anakaa mkoa wowote ule bila ya tatizo
Umeona sasa kumbe naongea na jamaa ambae yupo kijiweni anagonga kahawa yake huku akicheza bao[emoji23][emoji23]

Mnajitia kuijua kenya mwisho mnaumbuka kw ujuaji
 
Umeona sasa kumbe naongea na jamaa ambae yupo kijiweni anagonga kahawa yake huku akicheza bao[emoji23][emoji23]

Mnajitia kuijua kenya mwisho mnaumbuka kw ujuaji
Kwa taarifa yako Kenya nimeka Sana najua Tabia zenu niambie wapi hapo nimeongea urongo?
 
Machothara wawili wawili wakichanja mbuga[emoji23][emoji23]
Watu weusi kwn hamna jamaniView attachment 1685778
Huyu wa kushoto ni Mbantu na ndio head wa training! Najua mko weusi kama mafuta ya bunduki huko Kenya kwahiyo kila fair person ni chotara!

Niliwahi kukutana na Mkenya mmoja nilipokuwa nafanya intenship Barrick miaka ya 2008 akaniambia ati hakuwa anajua kama Watanzania wako fair, nilitamani kumkata vibao maana ndo ilikuwa salamu!

Nikajiuliza hili fala limetoka wapi?

 
Wahindi wamejaa atcl bana, uki search kila picha hukosi chothara bana..
Sijui elimu yenu mlikoseaga wapi walai, route ya ufunguzi km hyo wanapiga ma chothara bana, kwn hamna watu weusi au bado mnasingizia umoja ndio muendelee kutawaliwa tu
Wamejaa wangapi? Na huko kq wako wahindi wangapi?

Na vipi upande wa management iko vipi kwa haya mashirika mawili kuwa na wageni katika uongozi na usimamizi?
 
Back
Top Bottom