Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
Mombasa is like heaven 🙏
Mombasa is like heaven 🙏
Magu ana siri gn na EA mbn viongozi wanapanga msururu kumfuata Chato?Tutamfata chato hakuna kubabaishwa na mtu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kenya ni nchi chafu zaidi barani Afrika hiyo iko wazi kabisa mkuu.The best 007 najua mlijua nairobi pekee ndio chafu on na hii sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
Wanaongea kuhusu CoronaMagu ana siri gn na EA mbn viongozi wanapanga msururu kumfuata Chato?
Mbona msipande Mt Kenya?
Mbona njaa ipo Kenya, mnakuja ku-raise funds Mt Kilimanjaro?
Tony254, NairobiWalker, komora096, kikihboy
Hakuna njaa Kenya labda wanatafuta pesa ya vitambi,huoni uko Kapedo venye wako na Silaha mingi kuliko Nyumba zao wweNi aibu na fedheha karne hii njaa inapandiwa mlima, Kenya ni Taifa la hovyo kweli, kumbe mpaka kajiado watu hufa kwa njaa
Thank God for make me Tanzanian
Nashukuru haka kamsemo ka "East Africa Economic Hub" kanazd kupamba moto kila article ikiitaja Tanzania inaweka hilo neno.
Beautiful [emoji7] Mombasa
Aje kwa adabu, japo tunajua ni wale wale wazee wa id nyingi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Karibu JF
Wacha waambizane, habari zisambae kunako Kunyaland [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]Haya ng’ombe nyingine hii[emoji28][emoji28]View attachment 1685344
Wewe unaongea nini Tony254?Hakuna njaa Kenya labda wanatafuta pesa ya vitambi,huoni uko Kapedo venye wako na Silaha mingi kuliko Nyumba zao wwe
Mimi si Tony alafu Kenya hakuna njaa walai uko Turkana mnasemanga wako na bunduki kuliko Askari wa daresalam nakwambiaWewe unaongea nini Tony254?
Una matatizo ya akili? Huwezi kutaja Kenya bila njaa, utakua umekosea heshima, ninyi njaa ndio identity yenu number 1
Ndio mnaitafuta mpaka mnakua mang'ombeNjaa ya kutafta pesa nakubaliana nawe iko😁
Tony ni nani?Mimi si Tony alafu Kenya hakuna njaa walai uko Turkana mnasemanga wako na bunduki kuliko Askari wa daresalam nakwambia
ukweli wakifikiri Ni njaa wachange chakula wakapeleke Kapedo,watajua hawajui,watapatana na warrior na Silaha za Bei akuna MTZ wa kawaida anaweza fika beiNjaa ya kutafta pesa nakubaliana nawe iko😁
Hehehehee u must be crazy, yn Tz ipoteze muda na resources kuongelea mafua?Wanaongea kuhusu Corona
Hukumbuki Prezo wenyu alisema Mlime chakula mingi kutakuwa na ongezeko la korona na hakuwaambia Ni wapi, kumbe Ni TZ🤣🔥Hehehehee u must be crazy, yn Tz ipoteze muda na resources kuongelea mafua?
Haya kojoa ulale sasa🤣🤣🤣Mimi si Tony alafu Kenya hakuna njaa walai uko Turkana mnasemanga wako na bunduki kuliko Askari wa daresalam nakwambia