President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,057
- 93,451
Hahahaha mimi siyo Software engineer bali mimi ni Cosmologist.Jamaa aliunda watch inayofanya kazi na hata akaweka radio button ya kureset saa. Kisha akakupa kazi rahisi ya kuweka radio button na ukashindwa. Sasa nani haaminiki kati yako na yake. By the way naamini kwamba wewe ni software engineer mashuhuri lakini hakuna haja ya kumshuku maana alifanya kazi uliyompatia.