Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Amechange gear sai..
Ame search cbd to westy wala sio kicc to gtc tena
Hata sio search yake ya uchwara haijasema distance kati ya cbd na westy ni kilomita ngapi. Hebu rudi utazame hio picha yake ya uchwara. Eti inasema 3 km halafu hapo chini inasema 7 km. Sasa ni 3 km au 7 km? Anaokota uchafu kwenye internet na kumwaga huku
 
Inasema 7 min for that 3km unachanganyikiwa tony😆😆
0DB912D4-018D-40BE-8893-C137A9E79570.jpeg
 
Akili zinatoka kwenye makalio kwenda kichwani alaf kesho utaskia wanakwambia sisi tumesoma sana 🤣🤣👇👇 Geza Ulole
 
Tulichukua KICC kwasababu google earth ukisema CBD inakupa all area ya CBd fala wewe😀😀😀😀😀 hujui chochote alaf unavamia treni kwa mbele
Hata tukichukua KICC to GTC bado inakuwa 4.6 kilometres. Sasa hizo 2 kilometres zako ulitoa wapi? Halafu mimi nakuwekea hadi search area ndio uone nimesearch nini. Anyway, umenipotezea muda wangu bure.
Tamaza panel on the left side wameandika kuwa distance ni 4.6 km

1611509981503.png
 
Attachments

  • 1611509907940.png
    1611509907940.png
    345.6 KB · Views: 19
Kuna mikataba ya mikakati anakuja ku saini 👇👇👇👇👇

Kwanza huyu raisi ni flower girl. Ni puppet. Ni mtu mdogo sana kwenye serikali ya Ethiopia. Abiy Ahmed ndiye ana powers zote. Kama ingekuwa PM Abiy anakuja ndio ingekuwa habari kubwa. Huyu mama amekuja Kenya mara nyingi na hatujawahi kufungua mdomo
 
Hata tukichukua KICC to GTC bado inakuwa 4.6 kilometres. Sasa hizo 2 kilometres zako ulitoa wapi? Halafu mimi nakuwekea hadi search area ndio uone nimesearch nini. Anyway, umenipotezea muda wangu bure.
Tamaza panel on the left side wameandika kuwa distance ni 4.6 km

View attachment 1685263
Akili kichwani mwako mm nimemaliza 😀😀
 
Kwanza huyu raisi ni flower girl. Ni puppet. Ni mtu mdogo sana kwenye serikali ya Ethiopia. Abiy Ahmed ndiye ana powers zote. Kama ingekuwa PM Abiy anakuja ndio ingekuwa habari kubwa. Huyu mama amekuja Kenya mara nyingi na hatujawahi kufungua mdomo
Sasa ww ulikua hutak aje tanzania ?? Wacha aje lazma kutakua na jambo muhimu 😅😅
 
Brian a.k.a Simba 254 kapotelea wapi!? Tony254 bado unamuamini kijana wako!?
Jamaa aliunda watch inayofanya kazi na hata akaweka radio button ya kureset saa. Kisha akakupa kazi rahisi ya kuweka radio button na ukashindwa. Sasa nani haaminiki kati yako na yake. By the way naamini kwamba wewe ni software engineer mashuhuri lakini hakuna haja ya kumshuku maana alifanya kazi uliyompatia.
 
Naona jana ulimpa dozi ya uhakika 😁😁 kaenda kutafuta mtu wakumsaidia atakuja wacha tumpe muda
Nilimtafuta mpaka jina lake halisi tumelijua. Nimemuweka kwenye manati Mr. Brian kaja hewani. Kwa sasa atakuja na account mpya.
Kwa upande wa Kenya Tony254 kidogo japo naye taarifa zake tukonazo. Hahahaha
 
Back
Top Bottom