Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado mnachimba andaki 🙂
Kenyans dies for BRT 🤣🤣🤣 hahhah.wkt huo sisi,we'r about to float tender kwa ajili ya phase ya nne. Hizo zingine zote ziko kwenye hatua mbali mbali.Soon tu ya tatu ujenzi utaanza,Kama kwny boxing,Tzee tunapiga pale pale *****!kama tumeamua kulenga jicho ni jicho tu.😂.
 
Tafuta mtu anayejua programming umpatie hizo code akuandikie uone output kuwa ni ngapi.
Ofcos the first code is incremental the second part outside the loop is so direct actually it just says print X in which x is zero it was just a simple negligence but sublime text always corrects those for me
 
Kenyans dies for BRT 🤣🤣🤣 hahhah.wkt huo sisi,we'r about to float tender kwa ajili ya phase ya nne. Hizo zingine zote ziko kwenye hatua mbali mbali.Soon tu ya tatu ujenzi utaanza,Kama kwny boxing,Tzee tunapiga pale pale *****!kama tumeamua kulenga jicho ni jicho tu.😂.
Tena ni sisi tu at least tunawaamsha amsha humu ndani ila serikali yenyewe iliamua kumkimbiza mwizi kimya kimya ogopa sana!!!ni matendo tu no stories!!Miradi ya kimkakati kila kona ya Tanzania.
 
This is kainuk bridge bordering turkana and west pokot. Last pic kainuk. Cheki quality.View attachment 1683759View attachment 1683760View attachment 1683761
Bado mnasafari ndefu sn kufikia quality hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
tapatalk_1596958381797.jpg
tapatalk_1598132328829.jpg
tapatalk_1602623646317.jpg
JamiiForums-876549602.jpg
 
Acha kujidanganya we bwege .tuanze na YouTube kaangalie wabongo wenye subscribers wengi zaidi ya 1million subscribers ni wangapi.? Anza na haw Millard Ayo, global tv,wasafi tv,sns tv,dar 24,dar mpya tv,thinkers tv,cloudes tv, na online tv zingine kibao .na hapo sijakutajia msanii hata mmoja na usisahau kwamba diamond ndio anaongoza Africa kwa subscribers wengi. Tunakuja kwenye insta mzee watu wenye followers zaidi ya M wapo zaidi ya 100 na wengine hata uko kwenu hamuwajui funny enough hata gossip pages zina followers zaidi ya M moja ni nyingi,itoshe kusema nyie wajuba kwenye suala la access to Internet mtuache kidogo mnajidanganyaga ila kwenye ground hamjawahi kutuzidi
Jamaa wanapenda kutunisha Vifua Sana wakati kwa ground vitu ni tofauti🙂🙂👇👇Vs
👇👇👇👇
 

Attachments

  • Screenshot_20210122-224206_Instagram.jpg
    Screenshot_20210122-224206_Instagram.jpg
    101.3 KB · Views: 14
  • Screenshot_20210122-224150_Instagram.jpg
    Screenshot_20210122-224150_Instagram.jpg
    41.7 KB · Views: 13
Back
Top Bottom