Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapana nikama ana Google hakuna mtu ambaye anaeza kua wa software engineering asijue open source hardware sababu hizo ndo hutumika kufanya project zote.... na anapinga eti hakuna kitu kama hiyo.... me nikiwa jkuat lazima tungefika nerokas iko thika kila wiki kuzitafuta
Ni poa tumepata a real software programmer hapa. You need to expose that fool.
 
This is kainuk bridge bordering turkana and west pokot. Last pic kainuk. Cheki quality.
IMG_20210122_221832.jpg
IMG_20210122_221835.jpg
IMG_20210122_221809.jpg
 
Hii nyumba kapewa binti mmoja huko Tanga kama msaada uliotolewa na wadau mbali mbali waziri mkuu akiwamo

Thamani ya nyumba hii modern self contained ni million 43 pamoja na samani zote za ndani, me naona ni bei rahisi sana, gharama za maisha Tanzania ni cheap sana

EsVQZavW8AEvJmd.jpg
 
Sitakaa niamini data za Mkenya I swear!!!.
Mkenya siku zote ni mtu WA kukuza mambo,na figures ndo unakuta usipo kua muangalifu kitu cha 100ksh sehemu nyingine utanunua 300ksh wakati ni same product,mfano kuna sehemu wanaita River road Kule ndo wauni wamefungua biashara zao vyeti vya kugushi na uchafu wote huwa unafanyiwa huko 🙂
 
Back
Top Bottom