The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Keshakuwa mpole basi mpe pause [emoji3498][emoji3][emoji3]Bado unajiita programmer!? Hilo lilikuwa ni simple code je, nikikupatia complex utaweza kweli!?
Keshakuwa mpole basi mpe pause [emoji3498][emoji3][emoji3]Bado unajiita programmer!? Hilo lilikuwa ni simple code je, nikikupatia complex utaweza kweli!?
Huwezi ukawajua mkuu maana wewe mziki wako ni genge tone na kapuka waulize hot 96 ambao huwa wanacheza mix za DJ mafuvu show iitwayo mistari utapata majibuHao ni akina nani Sasa😱😳??
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Asikuongopee huyo, mziki wake ni Bongo fleva.Huwezi ukawajua mkuu maana wewe mziki wako ni genge tone na kapuka waulize hot 96 ambao huwa wanacheza mix za DJ mafuvu show iitwayo mistari utapata majibu
Sidhani kama ataonekana tena hapa JF. Atakuja na account mpya.Kayeyuka baada ya kuona namuingiza kwenye 18 zangu!
Walipo kua wakijenga hizi barabara hawakua na brt in mind? Engineers na experts walikua wapi? Majirani zetu bwana mnatuangusha Sana 🙂Kenyans dies for BRT 🤣🤣🤣 hahhah.wkt huo sisi,we'r about to float tender kwa ajili ya phase ya nne. Hizo zingine zote ziko kwenye hatua mbali mbali.Soon tu ya tatu ujenzi utaanza,Kama kwny boxing,Tzee tunapiga pale pale *****!kama tumeamua kulenga jicho ni jicho tu.😂.
Bado mnasafari ndefu sn kufikia quality hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]View attachment 1683772View attachment 1683773View attachment 1683775View attachment 1683777
Ntakurudia saa hii naangalia Trend NTV na 10 over 10 citizen, kudadeki gengetone on heavy rotation.Wacha kutuchefua we jamaa, wengine tunakula hapa usitake tu vomit.
Nkt sikujibu sababu jibu lake ulikua unanitusi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sidhani kama ataonekana tena hapa JF. Atakuja na account mpya.
Fala kweli ww, umenisahau au unajitia ushujaa usiokuwa nao [emoji3][emoji3][emoji3]Ntakurudia saa hii naangalia Trend NTV na 10 over 10 citizen, kudadeki gengetone on heavy rotation.
Hujui programming kijana. Nakupatia maswali ya kitoto kabisa unashindwa.Nkt sikujibu sababu jibu lake ulikua unanitusi
Mpk huruma dah [emoji3][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Nkt sikujibu sababu jibu lake ulikua unanitusi
Sasa ukinipa Swali jibu lake eti ni STUPID nami nijibu kiujinga mjinga tu eti jibu ni STUPID????Hujui programming kijana. Nakupatia maswali ya kitoto kabisa unashindwa.
Nimekwambia kama unataka kujifunza programming nitakusaidia ujue basics.
Ss fanya kumtafuta akupe knowledge wacha kujitutumua, tabia za kikenya zitawakosesha mambo mengi sana duniani hapa.Sasa ukinipa Swali jibu lake eti ni STUPID nami nijibu kiujinga mjinga tu eti jibu ni STUPID????
I told you. Programming hujui. Upo tayari uwe mwanafunzi wangu!?Sasa ukinipa Swali jibu lake eti ni STUPID nami nijibu kiujinga mjinga tu eti jibu ni STUPID????
Hapana swali lenyewe rahisi jibu unaeza ona si la kufikiria anauliza yale maswali ya beginners. Nia yake ilikua unitusi ona kwa hiyo picha nimekutag Soma Jibu kwa hiyo pichaSs fanya kumtafute akupe knowledge wacha kujitutumua, tabia za kikenya zitawakosesha mambo mengi sana duniani hapa.
Sasa unachukua one hour kujibu. Mpaka umepigia simu mtu. Hahahahaha!! Nikupatie jingine!?Hapana swali lenyewe rahisi jibu unaeza ona si la kufikiria anauliza yale maswali ya beginners. Nia yake ilikua unitusi ona kwa hiyo picha nimekutag Soma Jibu kwa hiyo picha View attachment 1683793