Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi mko 60 million, sisi tuko 48 million. Vipi tena ulikuwa unataka tuwashinde kwenye kutazama umbea na miziki za mitandao? Dunia nzima inawajua nyinyi ni watu mnapenda umbea. Sisi ni watu tupo sophisticated. Tunatazama akina Beyonce na Jay Z, akina Bebe cool, akina wizkid. Hatujajifungia tu kwenye wimbo zetu kama nyinyi. Mjifunze kingereza angalau muanze kufuatilia wimbo za watu wengine.
ndio mkubali muache ujinga kubishabisha kila kitu,
halafu wimbo unaoongoza duniani kwa views unaitwa decpacito,sio wa kiingereza.

so kama unadhani music kusikilizwa mpaka uwe wa kiingereza,utakuwa unatumia internet kujifunza mapishi sio kuelimika.
 
Hahahaha ngoja nikufunze kitu.

Kwanini wimbo wa despacito una views zaidi ya bilioni moja youtube wakati lugha iliyotumika sio lugha inayozungumwa ulimwenguni kote?

Mfano mwingine ni wimbo wa Master Kg na Namcebo Jerusalema...lugha iliyotumika kwenye ule wimbo sio lugha inayotumika ulimwenguni kote bali ni pale SA tu lakini ni moja ya nyimbo inayofanya vizuri tena ikiwa na views zaidi ya milioni mia mbili.

Ukweli ni kuwa watu hawasikilizi lugha kwenye muziki bali husikiliza ile mirindimo ikiwemo, beats na manjonjo mbalimbali iliyotumika kwenye nyimbo husika.

Kwanini diamond anafanya shows kibao kwenye nchi ambazo hata hazizungumzi lugha ya kiswahili na nyomi zinajaa kama kawa.

Jifunzeni kuishi kwenye uhalisia na muwache kutetea weak points zenu kwa kutumia visingizio vilivyo kunywa changaa.
Hii unajifanya huoni au ni spana zimekaza mahali pake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naifahamu kenya kuliko wewe unavyo ifahamu.

Nimetembea counties nyingi za kenya kuliko wewe mzaliwa wa kenya ulivyo tembelea.

Nimechakata papuch za kenya kuliko wewe mkenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ungekuwa unaifahamu Kenya basi ungejua kuwa zaidi ya 30% wana smartphones. Sasa utasemaje kwamba only 20% wana access to the internet ilhali zaidi ya 30% wana smartphone? Data yako ina walakini.
 
Kama ungekuwa unaifahamu Kenya basi ungejua kuwa zaidi ya 30% wana smartphones. Sasa utasemaje kwamba only 20% wana access to the internet ilhali zaidi ya 30% wana smartphone? Data yako ina walakini.
Na tugemee kupungua 0 hadi 10 kwenye watu 100 maana wenye [emoji324] zao wanataka kusikitisha.
 
IMG_1611315046.495835.jpg
 
hata wabunge hawakijui,na wanasema ni lugha ya taifa lao[emoji38][emoji38][emoji38].
Kiswahili sio lugha rahisi kwa watu wengi, sio Wakenya tu. Kuna muhindi fulani alisikika akiambia mfanyikazi wake "apana tombea tombea hapa, fanya kazi......mashahara yako iko kwa mafuko yangu."
 
Nipo home nimeshapiga nswalu,nyanya chungu na ugali wa udaga hapa nmetulia nashushia na Azam ukwaju,najua majirani zetu wazungu Sana hawanaga vyakula vya asilia isipokua githeri,alia,na mothokoi🙂 wazee wa pizza,na chips kuku npo?🙂
 
Kiswahili sio lugha rahisi kwa watu wengi, sio Wakenya tu. Kuna muhindi fulani alisikika akiambia mfanyikazi wake "apana tombea tombea hapa, fanya kazi......mashahara yako iko kwa mafuko yangu."
[emoji38][emoji38]wahindi ndio tatizo kubwa.
 
Back
Top Bottom