Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tv zenu za kishamba sana.. nimejaribu kucheck tv za kenya na Tanzania, za Tanzania hata hazina ujinga wa kuonyesha hayo mambo ya USA.. nyie zenu ndo zinapnyesha .. yan badala zihabarishe au ziibue matatizo ktk jamaa yenu.. zinaonyesha vitu vya nje.. sidhan tv za usa zina mda wa kuonyesha inauguration events za marais wa kenya!!!
Hawa watu ni wapumbavu kichizi aisee 😅😅😅

Mijitu ipo busy inatokwa povu na mishipa unaweza kufikiria Kenya ni jimbo la Marekani kwa namna wanavyofuatilia mambo ya Marekani, marsabit wanakufa njaa hawana muda nao
 
Hii report ya mwaka gani,,huu uwanja mtamu Sana😍 in MERU COUNTY
View attachment 1681928View attachment 1681929
Screenshot_2021-01-20-18-38-14-276_com.instagram.android.jpg

Seven hours ago
 
Mimi naongea kuhusu Mombasa island kuanzia mwanzo lakini wewe umeanza kuongea kuhusu Mombasa region. Inaonyesha jinsi wewe ni kigeugeu. Tunaongea kuhusu Mombasa island. Na wewe ulipinga kabisa kwamba hakuna island Mombasa. Hata ukaniwekea map ya umavi na kuniambia nikuonyeshe wapi island ilipo. Map uliyoweka hata haikuwa na Mombasa island. Unaenda kuokota takataka kwenye internet na kuzileta huku.
Ulianza kusema Zanzibar ni kama Mombasa sababu zote ni islands, huwezi kuifananisha Zanzibar na huo uvundo wenu mnaoita kisiwa sababu Mombasa sio Island, ni 99% inland landmass with 0.7% lagoon landmass
 
Mbona Munaongelea zanzibar na zanzibar si TZ????
 
Kwani maana ya kisiwa ni nini?
Ati anataka kusema eti kama landmass iko ndani ya river na imezungukwa na maji ati hio ni lagoon. Hizi ng'ombe hazijui geography na zinajifanya genius. Halafu ukiwaambia walete sources na evidence hawana. Sisi tunaweka evidence na sources, wao wana argue bila facts wala evidence.
 
Ulianza kusema Zanzibar ni kama Mombasa sababu zote ni islands, huwezi kuifananisha Zanzibar na huo uvundo wenu mnaoita kisiwa sababu Mombasa sio Island, ni 99% inland landmass with 0.7% lagoon landmass
Screenshot_20210120-185047_Chrome.jpg

Kwa weenzetu wasio kielewa kizungu ....
 
Ati anataka kusema eti kama landmass iko ndani ya river na imezungukwa na maji ati hio ni lagoon. Hizi ng'ombe hazijui geography na zinajifanya genius. Halafu ukiwaambia walete sources na evidence hawana. Sisi tunaweka evidence na sources, wao wana argue bila facts wala evidence.
Wewe jamaa unaandika maneno mengi mno.
Hakuna mtu amekueleza kuwa hiyo ni lagoon niwewe tu unajipendekeza.
Nimekuuliza nani Mwalimu wako wa Geography ambaye hajui hata Delta!?
 
Back
Top Bottom