President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,657
- 94,305
Dah!! Wewe jamaa hebu pumuzika kwanza. Akili zikae vizuri.Wewe umebadilisha gear. Mwanzoni ulisema kwamba Mombasa sio kisiwa. Ukasema mimi ni wazimu. Lakini nilipokuletea google maps na satellite image ya Mombasa island umeanza kusema tena kwamba Nyali ipo mainland. Kama ungesoma comment yangu mwanzoni, huu mjadala haungetokea. Tatizo lenu hampendi kusoma comment ya mtu. Kwenye comment yangu nilisema kwamba Mombasa kuna kisiwa na pia kuna mainland. Wewe kukosa kusoma comment yangu vizuri ni shida yako ya kutokuwa makini.
Soma hii comment yangu vizuri uone kwamba nilikiri kwamba kuna maeneo ya Mombasa ambayo yako Mainland lakini kwa sababu nyinyi Malazy hampendi kusoma sishangai tabia yenu ya kutokuwa makini.
Halafu hapa ukanitusi kwamba mimi ni mtu bogus kuwahi kutokea halafu ukapost map ya umavi sana na kuniuliza nionyeshe wapi Mombasa island ilipo. Hio map ya umavi uliyopost haina Mombasa island lakini hio ni kwa sababu hio ni map ya umavi. Mimi nimekuwekea satellite image ya Mombasa island. Leo mumejiabisha sana. Kama hujui kitu nyamaza.
Cc Venus Star
Huwa wanapenda kuonekana wapo juu hata kwa upuuzi.Katika power stations kubwa kabisa duniani zaidi ya nusu ni Hydropower na zingine zinajenga ikiwemo bwawa la Mwalimu Nyerere...
Wakenya mnajisia Wind powers wakati sisi tunaangalia posibility ya kutumia Uranium yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mombasa ni kisiwa Bwn Naton Jr ! the same way Diani Beach haiko Mombasa county bali Kwale county Bwn Tony254 ! ukweli unabaki ukweli!Wewe umebadilisha gear. Mwanzoni ulisema kwamba Mombasa sio kisiwa. Ukasema mimi ni wazimu. Lakini nilipokuletea google maps na satellite image ya Mombasa island umeanza kusema tena kwamba Nyali ipo mainland. Kama ungesoma comment yangu mwanzoni, huu mjadala haungetokea. Tatizo lenu hampendi kusoma comment ya mtu. Kwenye comment yangu nilisema kwamba Mombasa kuna kisiwa na pia kuna mainland. Wewe kukosa kusoma comment yangu vizuri ni shida yako ya kutokuwa makini.
Soma hii comment yangu vizuri uone kwamba nilikiri kwamba kuna maeneo ya Mombasa ambayo yako Mainland lakini kwa sababu nyinyi Malazy hampendi kusoma sishangai tabia yenu ya kutokuwa makini.
Halafu hapa ukanitusi kwamba mimi ni mtu bogus kuwahi kutokea halafu ukapost map ya umavi sana na kuniuliza nionyeshe wapi Mombasa island ilipo. Hio map ya umavi uliyopost haina Mombasa island lakini hio ni kwa sababu hio ni map ya umavi. Mimi nimekuwekea satellite image ya Mombasa island. Leo mumejiabisha sana. Kama hujui kitu nyamaza
Cc Venus Star
Hebu niambie hiyo Mombasa island ipo ndani ya ocean or lake. Then name the name of that lake or ocean.Wewe umebadilisha gear. Mwanzoni ulisema kwamba Mombasa sio kisiwa. Ukasema mimi ni wazimu. Lakini nilipokuletea google maps na satellite image ya Mombasa island umeanza kusema tena kwamba Nyali ipo mainland. Kama ungesoma comment yangu mwanzoni, huu mjadala haungetokea. Tatizo lenu hampendi kusoma comment ya mtu. Kwenye comment yangu nilisema kwamba Mombasa kuna kisiwa na pia kuna mainland. Wewe kukosa kusoma comment yangu vizuri ni shida yako ya kutokuwa makini.
Soma hii comment yangu vizuri uone kwamba nilikiri kwamba kuna maeneo ya Mombasa ambayo yako Mainland lakini kwa sababu nyinyi Malazy hampendi kusoma sishangai tabia yenu ya kutokuwa makini.
Halafu hapa ukanitusi kwamba mimi ni mtu bogus kuwahi kutokea halafu ukapost map ya umavi sana na kuniuliza nionyeshe wapi Mombasa island ilipo. Hio map ya umavi uliyopost haina Mombasa island lakini hio ni kwa sababu hio ni map ya umavi. Mimi nimekuwekea satellite image ya Mombasa island. Leo mumejiabisha sana. Kama hujui kitu nyamaza
Cc Venus Star
Ipo ndani ya Indian OceanHebu niambie hiyo Mombasa island ipo ndani ya ocean or lake. Then name the name of that lake or ocean.
.
Sitaki kufunzwa geography na a nobody like you. Niletee source yoyote inayosema kwamba Mombasa island sio island. Nijisomee mwenyewe. Ninaweza kujisomea. Kilaza kama wewe huwezi kunifunza geography. Nipe source nijisomee.Hebu niambie hiyo Mombasa island ipo ndani ya ocean or lake. Then name the name of that lake or ocean.
.
Ipo ndani ya Indian OceanHebu niambie hiyo Mombasa island ipo ndani ya ocean or lake. Then name the name of that lake or ocean.
.
Asante Geza Ulole. Wacha mimi niende zangu. Sina muda wa kupoteza na hawa watu.
Kwani do u think huyo investor atawauzia umeme kina nani ???😄😄😄😄Hio $700 million ni pesa ya investors. Serikali ya Kenya haijatoa hata shilingi moja hapo.
Hebu nipatie list ya visiwa vikivyo ndani ya Indian ocean.Ipo ndani ya Indian Ocean
hskika
We won almost everything here we unaeza hizo mbili tu 😂😂😂😂hskika
tuletee map inayosema diani beach ipo Mombasa!Sitaki kufunzwa geography na a nobody like you. Niletee source yoyote inayosema kwamba Mombasa island sio island. Nijisomee mwenyewe. Ninaweza kujisomea. Kilaza kama wewe huwezi kunifunza geography. Nipe source nijisomee.
Somali has more than 3 islands in the Indian ocean have you seen them on that list???? Think they naming islands that are territories
Safi sana ahsante kwa correction mkuu nmekupata vizuri👍Tanzanite ni gamestone na si rare metal ndo maana huwezi kuikuta ndani ya periodic table kwenye group ya rare metals!
Diani beach haipo mombasa countytuletee map inayosema diani beach ipo Mombasa!
Wakenya akili haziko sawa...Kwani do u think huyo investor atawauzia umeme kina nani ???[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]