mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,513
dah ila hawa jamaa bana aisee

.dah ila hawa jamaa bana aisee

.Watu watafute density kama hiii 🤣🤣👇👇
Uhehehehe 10 to 20floors ni nyumba ndogo ndogo unaakili sawa sawa wewe🤣🤣🤣🤣Density gani? Nyumba ndogo ndogo hizo?
Poa poa, nitapita hapo.Ufiki kwenye zile jakaranda,ukitoka hapo kama unarud airport ni mt 100 kuna geti lingine unazama nalo...hiyo inakuwa nyuma ya hiyo Amani.
Hii nimeipenda,kuna siku Davido alisema haoni msanii wa kufanya naye collabo kutoka bongo,Sasa hii itamuuma Sana kama jirani.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Kenya hua wanashinda nn mbio tu na rushwa View attachment 1655905View attachment 1655904View attachment 1655906View attachment 1655907








.....




🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇👇
This is better than Kenya state houseNgoma ya Dai na Zuchu litawachoma kashootia hapo
View attachment 1655802View attachment 1655803View attachment 1655805
Hata mm kwa upande wangu naona sio sawa ila nahisi watakua wanaangalia na idadi ya wanyama piaKatika sehemu nisiokubaliana na serikali kabisa ni hii
Hatupaswi kufanya hivi, ni vyema tukaacha nature takes its course, hizo proteins tunazo tafuta kwa nyama pori tunaweza zipata kwenye mifugo mingi ssna
Baada ya muda mfupi wanyama mbugani watapungua sana kutokana na kuharibu life chain yao.
Kumbe wengi mmeona hivi! basi hii ni conclusionkunavutia kuliko state house ya kenya..