ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Umepanic 😁😁😁According to you
Umepanic 😁😁😁According to you
Hatuna siasa za kipuuzi kama hzi watu wanauana miaka miwili kabla ya uchaguziMwenzako ndio kayasema ukajitia uungwana sasa nasema mie umekasirika
Pole sana
Jaluo na kikuyu wako inchi moja but zanzibar is a country of it's own ni vile tu they did a merger with tanganyika dint even know that anti-Zanzibar sentiment on the mainland is moving beyond political rhetoric. As recently as March 2017, President John Magufuli threatened to cut electricity supply to the islands if the Zanzibar failed to pay a debt of 121 billion Tanzanian shillings ($54m).that's funny tanzania iwache zanzibar wafanye tu Maneno yao Awache kujilazimisha kwao na wao wanataka kujitawala

una story za vijiweni............wangekuwa wanalihitaji hilo mapema tu wangeshalifanya usichukulie vitu simple huu muungano haufanani na muungano wowote duniani sababu huu ni zaidi ya muungano hii ni nchi......
Mmasai huyo si unasikia Jina lake OleHuyu Ole gunnar soja anapenda kutaja taja mlima wetu sana.
Si ajabu hata miili yetu watanzania ina madini😝😝Kudadadeki hii nchi ni mgodi yote 😯
Ni ukweli it research if zanzibar was given a choice wangetaka kujitawala.... hata wakati wa elections walitumiwa majeshi ndo watulie wanakamdamizwa na ccm
Maswali yangu umeamua kuyahepaMbona hawadai sasa ??? Unafkiri huku kuna siasa za kikabila kama kwenu![]()


Umeshachanganyikiwa sasaHatuna siasa za kipuuzi kama hzi watu wanauana miaka miwili kabla ya uchaguzi


We mzanzibar halisi kweli🤔 sidhani..... wazanzibar Huwa hawana matusi uliyo nayo ni wakarimu sana. Girlfriend yangu huko ndo kwaoWe nyang'au acha kutusemea wazanzibar fala wewe
kama wewe ni mkenya na una girlfriend mzanzibar,unadhani watz wana nini huko!!!We mzanzibar halisi kwelisidhani..... wazanzibar Huwa hawana matusi uliyo nayo ni wakarimu sana. Girlfriend yangu huko ndo kwao
Si kweli hujui ulisemalo... Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni Natural hata kama isingekuwa 1964 lazima Nchi hizi zingekuwa Nchi Moja...Ni ukweli it research if zanzibar was given a choice wangetaka kujitawala.... hata wakati wa elections walitumiwa majeshi ndo watulie wanakamdamizwa na ccm
Acha waishi quaranteen watatukuta Dunia ya piliWakenya bado hamuamini kuwa no corona in Tz?
![]()
Hatuna siasa za ukabila na kuuwana 😃😃Umeshachanganyikiwa sasa
Mjibu na mwenzio basi aliyayleta manake unalialia sana mzee baba
Chato wadai uhuru wao au sio 🤣🤣🤣🤣Mungu atakusaidiaMaswali yangu umeamua kuyahepa
Pole sana kw nondo
We Yosef Festo mbona unasema girlfriend yangu badala ya wangu? Una miaka zaidi ya mitatu jf lakini kiswahili chako bado ni cha ushagoo typically Kenyan, kichwa mzingaWe mzanzibar halisi kweli🤔 sidhani..... wazanzibar Huwa hawana matusi uliyo nayo ni wakarimu sana. Girlfriend yangu huko ndo kwao