Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yuko wapi yule anayetaka kuifananisha KARIAKOO na Kenyata avenue...
Kwa taarifa yake KARIAKOO ina_comprises of 30s streets,, hapo chini ni only two streets seen
b5457baeb0984a679e1e1361c6dea304.jpg
Yaani Kariakoo Ndio jiji la Mombasa lote.
 
Ujinga yako tafuta wendawazimu wenzako
asa ujinga gani ......tena kaka Collo .....mbona unanitukana bila sababu .....unanionea.....

kosa langu ni lipi.....jamani MZEE WA IPHONE7 ....usinifanyie hivyo sisi sote ni ndugu tupo community moja
 
Nairobi has no real competitor in Eastern and Central Africa. ....Dar is slum bado sana
kweli kabisa nairobi ni world class next level.......yaani hamkupaswa kuwa africa nyie....

ni pazuri sana nairobi kama London vile
 
[quote uid=142457 name="MK254 Ardhi ni kame tupu ilhali nyie mna ardhi kubwa kiasi cha kuunganisha Uganda, Rwanda na Kenya na bado mbaki na chenji halafu yote ina rotuba lakini cha kushangaza mnakwenda kubembeleza Malawi wawauzie mahindi


MAKAVU TU



Bwana wewe nimekwambia kwa mbwembwe mnazojiita middle income ni aibu kubwa kulalamika eti ardhi ni kame! Hizo hela mnazosema mnazo zinafanya nini? Anhaaa nahisi zinanunua ardhi kwa ajili ya ile familia! Juzi hapa mmepewa mahindi na Israel! Hivi unajua Israel nchi nzima ni jangwa? Au basi Egypt, wako jangwani, ushaskia wanalalamika njaa? Hao ndo tunaona umuhimu wa uchumi wao Sio nyie nyang'au mnashia kujisifu uchumi mkubwa wakati hamwezi hata kununulia wakulima mbolea, au kuanzisha irrigation scheme hata moja

stupid kenyan
 
Zile nivitu viko tayari, nyie ndio mnaanza hata bado hamjafika popote...

Alafu mzee Mnf ,Mzizima zote zipo Posta...

Kijitonyama kuna sky tower U/c Ile ni floor 22 tu halina maajabu sana...pia kule morroco square ,ukipanda ubungo ndio kuna ppf tower itafika floor 35 sahv wapo 25 na itakua na meter 135 hivi....project zipo nyingi, siunaelewa tunajenga flyover na interchange simultaneously,SGR, Hatuna maneno nakwambia tutakutana kwenye angle tu,kwanza 2019 wakat sgr dar Moro ikifunguliwa lazima mseme ni ya kwenu ipo voi
emoji23.png
emoji23.png
as usually vile mnapenda kujikomba na vitu vya watu....wakati huo express way ya dar chalinze km100 itakuepo na interchange zakutosha...mtachomokea wapi?labda mroge
hizi ni effects za kutumia akili kama kofia sasa.watu wanaongelea mambo ya 40 floors kuendelea pale avic,montave na hass 330m we unatuambia mambo ya 35 floors 135m.tulikamilisha flyovers na interchanges 10 years ago saa tunangoja outering na kule mombasa kwa dongo kundu na mia-port reitz road nyi ndio mnahesabu ya kwanza..tushakamalizsha sgr phase 1 phase two iko mbioni we unatwambia mtajenga.wakati nai to msa inatengezwa six lane na ishaanza we unatwambia 100 km dar-chalinze...hivi huoni aibu
 
hizi ni effects za kutumia akili kama kofia sasa.watu wanaongelea mambo ya 40 floors kuendelea pale avic,montave na hass 330m we unatuambia mambo ya 35 floors 135m.tulikamilisha flyovers na interchanges 10 years ago saa tunangoja outering na kule mombasa kwa dongo kundu na mia-port reitz road nyi ndio mnahesabu ya kwanza..tushakamalizsha sgr phase 1 phase two iko mbioni we unatwambia mtajenga.wakati nai to msa inatengezwa six lane na ishaanza we unatwambia 100 km dar-chalinze...hivi huoni aibu


They are playing catch up as usual .Hata sahii kisumu na Nakuru has roads that Dar can dream of
 
Back
Top Bottom