Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unfortunately if you never knew, every kenyan at least male has land/ the parent has Land. It's only in Nairobi near the cbd where Land is extremelely expensive, reason why? Its big companies and investors that buy the land to set up their businesses.
Let me inform you that the value of land is an indication of how much potential that area is for business. You can personally question yourself if you can buy a 100million land without assurity of return on investment. That's how it works, the more expensive, the higher opportunities
Tofaut zetu zipo kwenye umiliki wa ardhi my friend tanzania land inamilikiwa na gvt while kenya land inamilikiwa na mtu binafsi na kitu kibaya zaidi kenya ardhi kubwa imeshikwa na watu wachache so demand ya land itakua kubwa na siku zote demand ikipanda lazma na price itapanda.....ndio economy inavosema sio mm....
So ndio maana unaona slums ni nyingi nairobi na zimebeba watu wengi kuliko uwezo wake
 
Ndio maana hata ukiangalia population density nairobi ni kubwa na main reason ni kwamba ardhi hakuna....ndio maana in each km sq nairobi ina watu almost 6000 while dar in each km sq kuna watu 2450....so lazma demand ya ardhi iwe kubwa na ardhi yenyewe hakuna
 
Tofaut zetu zipo kwenye umiliki wa ardhi my friend tanzania land inamilikiwa na gvt while kenya land inamilikiwa na mtu binafsi na kitu kibaya zaidi kenya ardhi kubwa imeshikwa na watu wachache so demand ya land itakua kubwa na siku zote demand ikipanda lazma na price itapanda.....ndio economy inavosema sio mm....
So ndio maana unaona slums ni nyingi nairobi na zimebeba watu wengi kuliko uwezo wake
Usipotoa huo thought ambao umeuamini sana hautawai elewa ninachosema.
Ukitembea kenya ndipo utajua kila land iko na mwenyewe hata Uhuru mwenyewe(unayedhani nchi yote ni yake) anamiliki hio shamba kwa halali(ako na title deed ya shamba yake)
Go to the website of lands ministry and find out how many title deeds are issued.
But meanwhile uliza wenzako waliotembea( kama Kadoda) kama Kenya shamba inamilikiwa na wachache.
Mimi hata ni huku kwa hii forum ambapo naskia mambo mingi kuhusu Uhuru na shamba, ila huko nje watu hata hawafahamu kwa sababu ni kila mtu na mali zake
Mfano: wakati njia, reli project yoyote inayojengwa na serikali, Lazima kila mtu apewe compensation(alipwe kwa sababu ya kutumia shamba yake)
Katika shamba zote nchini ambapo safaricom ama any service provider wame errect booster lazima hio shamba alipwe, alafu alipwe kila mwezi kwa sababu ni shamba lake.
Lakini mimi mwenyewe bado sijafahamu vile land inamilikiwa na serikali how does that even work???
 
Hatujasema uhuru tumesema ardhi inamilikiwa na wachache usipende kugeuza uongo kua ukweli..
Ndio maana SGR ikawa expensive exactly...
Ok listen tanzania land inamilikiwa na gvt kwa maana kikatiba lakin mtu anamiliki ardhi yake lakin kikatiba ardhi yote iko chini ya serekali.....
 
Wakiendelea kukamilisha ujenzi wa terminal 3 julius nyerere int airport phase 2 ambayo itaweza kuhandle 7.2 million passengers per year
Screenshot_20170630-211255.jpg
Screenshot_20170630-211240.jpg
Screenshot_20170630-211223.jpg
Screenshot_20170630-211206.jpg
Screenshot_20170630-211103.jpg
Screenshot_20170630-211120.jpg
Screenshot_20170630-211147.jpg
 
jamani jamani sisi LDC sijui kwanini twaweza fanya vitu vidogo kama hivi angali wenzetu .......hawajafanikisha.....daah sisi LDC kweli ni maskini sana hatuna viwanda hatuna investors hatuna stima tunaishi dar in slams .....yaaani kaka kadoda mpaka nalia tupo nyuma sanaaa yaani wakenya hatuwaweziii bora miradi yote ingekuwa nairobi pale konza city

ac873ac4afd9ee6479c32bb021a14818.jpg
basi vuta machozi,usilie mdogo wangu.
 
Yuko wapi yule anayetaka kuifananisha KARIAKOO na Kenyata avenue...
Kwa taarifa yake KARIAKOO ina_comprises of 30s streets,, hapo chini ni only two streets seen
b5457baeb0984a679e1e1361c6dea304.jpg
 
.......yawwwnnn. ....
ata mimi wacha ni YAAAAWWWWNNNN ju ya hili swala la ardhi ju ni vituko aisee... eh! linahitaji 'essays' but unfortunately am not good at that especially unapomuelezea mtu ambae hadandishi any.
 
Back
Top Bottom