Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hizi ni effects za kutumia akili kama kofia sasa.watu wanaongelea mambo ya 40 floors kuendelea pale avic,montave na hass 330m we unatuambia mambo ya 35 floors 135m.tulikamilisha flyovers na interchanges 10 years ago saa tunangoja outering na kule mombasa kwa dongo kundu na mia-port reitz road nyi ndio mnahesabu ya kwanza..tushakamalizsha sgr phase 1 phase two iko mbioni we unatwambia mtajenga.wakati nai to msa inatengezwa six lane na ishaanza we unatwambia 100 km dar-chalinze...hivi huoni aibu
nai to mombasa six lane ni ndoto ya 2060
hio sgr tu imeawatoa makamasi munahaha kutafuta pesa za mkopo mrudishe
 
kaa apo ukiimba ndoto...msa to jomvu ishaanza..athi river to machakos ni maexcavator kwa sana.mtakula vumbi hadi milele
nai to mombasa six lane ni ndoto ya 2060
hio sgr tu imeawatoa makamasi munahaha kutafuta pesa za mkopo mrudishe
 
nai to mombasa six lane ni ndoto ya 2060
hio sgr tu imeawatoa makamasi munahaha kutafuta pesa za mkopo mrudishe
naona mnatafuta pakutokea....bado tunajenga we unasema mambo yakurudisha pesa.unaishi sayari gani kwani.njoo mombasa ntakupeleka miritini ujionee vile kazi hufanywa
 
Flickr is a coolest place, Dar es salaam's [HASHTAG]#TBT[/HASHTAG]
 
Attachments

  • IMG_20170701_112303_197.JPG
    IMG_20170701_112303_197.JPG
    59.7 KB · Views: 37
  • IMG_20170701_112244_004.JPG
    IMG_20170701_112244_004.JPG
    75.3 KB · Views: 37
  • IMG_20170701_112228_929.JPG
    IMG_20170701_112228_929.JPG
    50.4 KB · Views: 40
  • IMG_20170701_112211_616.JPG
    IMG_20170701_112211_616.JPG
    37.7 KB · Views: 38
naona mnatafuta pakutokea....bado tunajenga we unasema mambo yakurudisha pesa.unaishi sayari gani kwani.njoo mombasa ntakupeleka miritini ujionee vile kazi hufanywa
nasubiri njaa iishe kwanza nisije kufa nchi ya watu bure😀😀😀😀😀😀
pia nasubiri uchaguzi uishe msije niunganisha kwenye msafara
 
Na jirani Kenya
 
Attachments

  • Screenshot_2017-07-01-11-39-47.png
    Screenshot_2017-07-01-11-39-47.png
    88.9 KB · Views: 41
  • Screenshot_2017-07-01-11-39-37.png
    Screenshot_2017-07-01-11-39-37.png
    139.4 KB · Views: 40
  • Screenshot_2017-07-01-11-39-32.png
    Screenshot_2017-07-01-11-39-32.png
    103.6 KB · Views: 36
Back
Top Bottom