tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Hadi ziishe Ni lini sasatulia dawa ikuingie...this is what is coming up.tukiwambia tunawaburuza SA kwa sasa mnafura..jipigeni na chini mwaka huu..
![]()
Hadi ziishe Ni lini sasatulia dawa ikuingie...this is what is coming up.tukiwambia tunawaburuza SA kwa sasa mnafura..jipigeni na chini mwaka huu..
![]()
Izo michoro ndio unatambiatulia dawa ikuingie...this is what is coming up.tukiwambia tunawaburuza SA kwa sasa mnafura..jipigeni na chini mwaka huu..
![]()


kua mpole..kwani unataka ijengwe kwa siku moja.ongeeni saa ii ila zikiisha mtaona aibu kuingi jukwaa la kenyaIzo michoro ndio unatambia![]()
Mna perepeche nyingi sana bana,kwann msisubiri mambo yaive ndio muanze izo drama zenu...jengeni izo nyumba tu tutakutana tu kwenye anglekua mpole..kwani unataka ijengwe kwa siku moja.ongeeni saa ii ila zikiisha mtaona aibu kuingi jukwaa la kenya
Cty ipo safi? Unaumwacity tunaitengeneza MZEE WA IPHONE 7 endeleeni kujidanganya mkija kushtuka ndipo mtaamini.......maana mlipokazania eti city chafu....plan yakuhamisha raia eneo hatarishi ndiyo inayofanyika huku dar....city center yote now is clean
daaah,,yani vile mlipost buildings za kijitonyama,mnf na mzizima apa mkijigamba hazikua perepeche?mtakula vumbi hadi mileleMna perepeche nyingi sana bana,kwann msisubiri mambo yaive ndio muanze izo drama zenu...jengeni izo nyumba tu tutakutana tu kwenye angle
naumwa mimi au wewe .....mbona unauliza pasipo ulizwa.........ushapagawa na ugoro wewe na inaelekea kichwa panzi chenye akili za konokono.............Cty ipo safi? Unaumwa

Zile nivitu viko tayari, nyie ndio mnaanza hata bado hamjafika popote...daaah,,yani vile mlipost buildings za kijitonyama,mnf na mzizima apa mkijigamba hazikua perepeche?mtakula vumbi hadi milele

as usually vile mnapenda kujikomba na vitu vya watu....wakati huo express way ya dar chalinze km100 itakuepo na interchange zakutosha...mtachomokea wapi?labda mroge
JKIA ina hundle over 7 million sai na upgrade inafanywa I handle 20 millionWakiendelea kukamilisha ujenzi wa terminal 3 julius nyerere int airport phase 2 ambayo itaweza kuhandle 7.2 million passengers per year
View attachment 533285 View attachment 533286 View attachment 533287 View attachment 533288 View attachment 533289 View attachment 533290 View attachment 533291
Iyo ni Mombasa kabsa...one architecture design hao zoteYuko wapi yule anayetaka kuifananisha KARIAKOO na Kenyata avenue...
Kwa taarifa yake KARIAKOO ina_comprises of 30s streets,, hapo chinini only two streets seen
![]()
Hio ni terminal 3 pekeake itahandle 7.2 mJKIA ina hundle over 7 million sai na upgrade inafanywa I handle 20 million
Hio ni slum nyumba zimebanana hata pakupumua hakuna....vichochoro vimejaa zaidi ya barabaraIyo ni Mombasa kabsa...one architecture design hao zote![]()
Already tunahandle over that 2020 JKIA itakua na capacity ya 20m..izo ma picha za airport zenu Tena inakaa ugly sana at a 100 years hamtafikia JKIAHio ni terminal 3 pekeake itahandle 7.2 m
Terminal 2 sahii ina handle 3.5m na wakimaliza 3 pia watai upgrade zaidi na itabaki kwa local flights while terminal 3 itakua international flights....
Pia terminal1 iko katika ukarabati......
Tuliza mshono😀😀😀😀😀😀😀
Tanzania hakuna kulala ni kazi tu
Hahahhaha wivu huo subiri imalize ujenzi ndio utaiona Vzr kwa sasa tuliza mshono😀😀😀😀Already tunahandle over that 2020 JKIA itakua na capacity ya 20m..izo ma picha za airport zenu Tena inakaa ugly sana a 100 years hamtafikia JKIA