Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20170701-140315.jpg
 
Kishingo upande😀😀😀😀😀
Wewe nipinge nisipinge hutawai change so tushakuzoea.
Anyway mbona nimeskia kuna malalamiko mengi katika BRT, from inability to handle many people causing crowding, Late arrivals, few buses hence delay in some routes yet daladala are banned so people get stranded... Ni kweli? Na kama ni kweli ni kiwango gani
 
Zimeongezwa bus 164 zimeshawasili jumla wana bus zaidi ya 700 au zaidi
Hakuna mtu anaelalamika kuhusu BRT......
 
kolo najua roho inakuuma.sina namna ya kukusaidia,hasira ikizidi kumbatia transformer ya kenya power.
 
The founder of Alibaba JACK MA to visit kenya this month.
View attachment 533572
IN HIS FIRST VISIT TO AFRICA.
Being a business trip, coming to meet up entrepreneurs, you never know what this guy could be looking for in Kenya, he might have heard about us and decided to pay a visit. Let's wait and see...
 
Zimeongezwa bus 164 zimeshawasili jumla wana bus zaidi ya 700 au zaidi
Hakuna mtu anaelalamika kuhusu BRT......
jamaa mabwege kweli hawa...wamejichimbia fb kutafuta comment mbaya zinazozungumzia BRT yetu.

bahati nzuri au mbaya kila wakitafuta wanakosa.karibia zote zinasifia.

ukisoma comment za wakenya kuhusu SGR yao ,karibia zote zinaponda.
 
IN HIS FIRST VISIT TO AFRICA.
Being a business trip, coming to meet up entrepreneurs, you never know what this guy could be looking for in Kenya, he might have heard about us and decided to pay a visit. Let's wait and see...
vacation bongo.
 
Broo sometimes jaribu kua serious bana,major roads zote za apa Dar Ni 4 ways na service roads zake jumla ni 6, Morogoro road yenye BRT ina lane as ziada mbili ambayo inafanya ziwe 6 ukiweka na service road ni 8...Dar ni kubwa unaweza tembea km 60 nazaidi kwa barabara izo...kwa upande a barabara nairobi ndio unaweza challenge Dar basi izo barabara uku zipo kila mahali
 
Wacha kelele. toka uswazi uje Nairobi jiji lå dili...
nije mara ngapi .....ila nitakuja tena usiwaze......maana nimepaelewa.....kupo kama peponi...vile.....jiji lenu ni balaa yaani safi yaani full mabarabara yaani nyie ni wabayaaaa......mmeumbwa mmeumbika
 
Back
Top Bottom