Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dogo kajitahidi sana mimi o level nilipiga phyics C Chemistry B Biology C na mtaani nikawa mtamu sana Nikazama PCB kuhenya na msuli mzito usiopimika

Noma sana Mkuu, mimi Physics siwezi isahau ilinidhalilisha siku ya paper . Nilikuaga siisomi kabisa na sikua na mpango nayo. Mwaka huo paper la mock nilipiga D safi, Masela wakanipamba duh, hujawahi soma hili soma na unapiga D, noma sana. Kumbe kuna swali lilikosewa tukapata marks za bure.

Basi Miezi kadhaa mbele NECTA nikaingia zangu kupiga Paper la Physics. Kwenye practical masela wakakimbilia vifaa wanavyojua wakaliacha lile la dude sijui pendulum Bob lipo wazi. Nikaaa zangu pale nikawa nachezea chezea . Basi wire ule nikaukata kipande, Baada ya muda invigilator kapita kashangaa kidogo kaniuliza wire niliokupa upo wapi? Nikamwambia Nimeukata mrefu sana, kumbe ile kitu ilikua Constant wakuu, Alinifokea kwenye chumba cha Mtihaani “WE FALAA NINI” kamwita Askari nikapewa wire mwingine nikaendelea kuchezea hadi kuda ukaisha.

Matokea yakatoka nina mswaki kama kawa ila haijaharibu mambo yangu, Nikapiga ABB nikaenda zangu CBG , Nikasoma Miezi kadhaa ila walikuja walimu wa chuo somo moja walimu kibao , Yaani kila mwalimu na topic yake, nikaona ni fujo nikakimbilia HGL . Piga zangu ABC huko NECTA A-Level , Nahisi ningebaki CBG nisengetoboa.
 
Idiot there is a reason there is two counties i.e. Nairobi and Kiambu! U can't combine them to just suit ur ego of trying to prove the road is in Kiambu county yet it is called Nairobi western Bypass! Huo ni ufalamanga!
Acha kupenda kubisha kila kitu.....the road ipo kiambu county. 'Nairobi western bypass ' ni jina tu
56940418_2221540654776877_5260383928761450496_o.jpeg
 
Noma sana Mkuu, mimi Physics siwezi isahau ilinidhalilisha siku ya paper . Nilikuaga siisomi kabisa na sikua na mpango nayo. Mwaka huo paper la mock nilipiga D safi, Masela wakanipamba duh, hujawahi soma hili soma na unapiga D, noma sana. Kumbe kuna swali lilikosewa tukapata marks za bure.

Basi Miezi kadhaa mbele NECTA nikaingia zangu kupiga Paper la Physics. Kwenye practical masela wakakimbilia vifaa wanavyojua wakaliacha lile la dude sijui pendulum Bob lipo wazi. Nikaaa zangu pale nikawa nachezea chezea . Basi wire ule nikaukata kipande, Baada ya muda invigilator kapita kashangaa kidogo kaniuliza wire niliokupa upo wapi? Nikamwambia Nimeukata mrefu sana, kumbe ile kitu ilikua Constant wakuu, Alinifokea kwenye chumba cha Mtihaani “WE FALAA NINI” kamwita Askari nikapewa wire mwingine nikaendelea kuchezea hadi kuda ukaisha.

Matokea yakatoka nina mswaki kama kawa ila haijaharibu mambo yangu, Nikapiga ABB nikaenda zangu CBG , Nikasoma Miezi kadhaa ila walikuja walimu wa chuo somo moja walimu kibao , Yaani kila mwalimu na topic yake, nikaona ni fujo nikakimbilia HGL . Piga zangu ABC huko NECTA A-Level , Nahisi ningebaki CBG nisengetoboa.
mimi Physics na Mathematics ndo zilintoa babu! Na foundation yangu nzuri kwa haya masomo ndo yananipa leverage ya hata kufanya coding now! na hata nafikiria ACCA!
 
polen, kila mtu na uwezo wake.. wengine Mungu katujalia uwezo.. ALevel tulipiga pcm ya AAB.. B for physics
 
Ulifanya maamuzi mazuri...Mimi PCB ikinisumbua sana esp Physics lakini nilikomaa hadi mwisho
 
mimi Physics na Mathematics ndo zilintoa babu! Na foundation yangu nzuri kwa haya masomo ndo yananipa leverage ya hata kufanya coding now! na hata nafikiria ACCA!
Logic ya coding huwa inafundishwa 'A' levels kwenye Math 2 (Advanced Applied Math).

Katika boolean algebra vipengele vya truth tables (if else statements) na flow chart (algorithms) mwanafunzi anatayarishwa ku-thinking imperatively ambayo ndiyo misingi ya coding.

Ukishakuwa na msingi huo, mambo ya data structure na abstraction zingine kama pointers haziwezi kukusumbua.
 
Noma sana Mkuu, mimi Physics siwezi isahau ilinidhalilisha siku ya paper . Nilikuaga siisomi kabisa na sikua na mpango nayo. Mwaka huo paper la mock nilipiga D safi, Masela wakanipamba duh, hujawahi soma hili soma na unapiga D, noma sana. Kumbe kuna swali lilikosewa tukapata marks za bure.

Basi Miezi kadhaa mbele NECTA nikaingia zangu kupiga Paper la Physics. Kwenye practical masela wakakimbilia vifaa wanavyojua wakaliacha lile la dude sijui pendulum Bob lipo wazi. Nikaaa zangu pale nikawa nachezea chezea . Basi wire ule nikaukata kipande, Baada ya muda invigilator kapita kashangaa kidogo kaniuliza wire niliokupa upo wapi? Nikamwambia Nimeukata mrefu sana, kumbe ile kitu ilikua Constant wakuu, Alinifokea kwenye chumba cha Mtihaani “WE FALAA NINI” kamwita Askari nikapewa wire mwingine nikaendelea kuchezea hadi kuda ukaisha.

Matokea yakatoka nina mswaki kama kawa ila haijaharibu mambo yangu, Nikapiga ABB nikaenda zangu CBG , Nikasoma Miezi kadhaa ila walikuja walimu wa chuo somo moja walimu kibao , Yaani kila mwalimu na topic yake, nikaona ni fujo nikakimbilia HGL . Piga zangu ABC huko NECTA A-Level , Nahisi ningebaki CBG nisengetoboa.
Hongera mkuu ila daahh
 
Back
Top Bottom