Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Morogoro road 12 lanes, sam nujoma road 10 lanes:

Ubungo Flyover 12 Lanes.png

Ubungo Flyover 12 lanes2.png

Tulitumia dawa za asili (mimea) ambazo zimethibitisha kuwa na uwezo mkubwa wa kuua virusi na bakteria wa aina nyingi, kwa miaka elfu na elfu.

Tumejuaje hayo? Kwasabau mimea hiyo ipo.

Mimea kama tangawizi na vitunguu saumu, inaota ardhini ambapo kuna kila aina ya wadudu wanaohitaji kula mimea hiyo kuishi. Kitendo cha hiyo mimea kuwepo mpaka leo, inamaana inauwezo wa hali ya juu kujilinda. Kumbuka mimea haiwezi kukumbia sehemu hatarishi kama wanyama.

Mimea hii inajilinda kwa kwa kutoa maji maji na gesi mbali mbali inapokwaruzwa, gesi hizo huwa zina fubaza nguvu ya wadudu au kuua kabisa (papo hapo).

Sasa kwa kutumia logic hiyo, watanzania tuliamua kutumia mimea ili kufubaza/ kuua virusi vya Corona kwa kujifukizia gesi zake (inhale) na hivyo kuipa miili yetu muda wa kutengeneza kinga bila ya kudhoofika.

Nchi ambazo hazikutumia dawa hizo za asili (kwa idadi kubwa) hazikuweza kutengeneza herd immunity na hivyo wengi kufa au kuwa na waathirika wengi.

Mimi mwenyewe juzi tuu hapa niliugua Corona na kutumia dawa hizi za asili na sasa niko poa.
What you are saying here in a whole page is basic knowledge ambayo every average person ako nayo. Nothing new there. Tangawizi na kitunguu saumu kila mtu alitumia wakati huu wa corona, myself included, as a way of boosting immune system. Why do you think that the use of these two was only limited to Tanzanians? Even Americans used these two, but they still died in thousands. Tell us how Tanzanian's "combated" corona and stop this stupid talk.

And wait a minute, did you say uliugua corona juzi tu hapa? I thought Corona "iliisha" Tanzania like four or five months ago. Kumbe mnaugua kisiri siri? 😂
 
Many Marvel/DC comics shows do mention Tanzania. I watched one where they mentioned Mt. Kilimanjaro😂😂😂 Wanatutangazia nchi na utalii
Mbona hizi ni vitu za kawaida sana. I am currently watching Designated Survivor on Netflix and they've mentioned Kenya and Nairobi so many times. I have watched lots of movies mentioning Kenya or Kenyan cities/towns but I don't see it as a big deal
 
Tulitumia dawa za asili (mimea) ambazo zimethibitisha kuwa na uwezo mkubwa wa kuua virusi na bakteria wa aina nyingi, kwa miaka elfu na elfu.

Tumejuaje hayo? Kwasabau mimea hiyo ipo.

Mimea kama tangawizi na vitunguu saumu, inaota ardhini ambapo kuna kila aina ya wadudu wanaohitaji kula mimea hiyo kuishi. Kitendo cha hiyo mimea kuwepo mpaka leo, inamaana inauwezo wa hali ya juu kujilinda. Kumbuka mimea haiwezi kukumbia sehemu hatarishi kama wanyama.

Mimea hii inajilinda kwa kwa kutoa maji maji na gesi mbali mbali inapokwaruzwa, gesi hizo huwa zina fubaza nguvu ya wadudu au kuua kabisa (papo hapo).

Sasa kwa kutumia logic hiyo, watanzania tuliamua kutumia mimea ili kufubaza/ kuua virusi vya Corona kwa kujifukizia gesi zake (inhale) na hivyo kuipa miili yetu muda wa kutengeneza kinga bila ya kudhoofika.

Nchi ambazo hazikutumia dawa hizo za asili (kwa idadi kubwa) hazikuweza kutengeneza herd immunity na hivyo wengi kufa au kuwa na idadi kubwa ya waathirika.

Mimi mwenyewe juzi tuu hapa niliugua Corona na nilitumia dawa hizi za asili na sasa niko poa.
Mkuu hii elimu yote ndo kusema umeyapa haya majitu majinga hv daahhh.
 
What you are saying here in a whole page is basic knowledge ambayo every average person ako nayo. Nothing new there. Tangawizi na kitunguu saumu kila mtu alitumia wakati huu wa corona, myself included, as a way of boosting immune system. Why do you think that the use of these two was only limited to Tanzanians? Even Americans used these two, but they still died in thousands. Tell us how Tanzanian's "combated" corona and stop this stupid talk.

And wait a minute, did you say uliugua corona juzi tu hapa? I thought Corona "iliisha" Tanzania like four or five months ago. Kumbe mnaugua kisiri siri?
Mkuu Chamoto umeona ss, nilikuambia mm hawa watu tuwaache wafe tu wala tusiwape siri mana ni wabishi sana, btw huyo chamoto hayuko Tz, anaishi America huko ambapo ingekuwa ni Mkunya watu wote tungejua humu but huyo chamoto amekausha tu na ndivyo tulivyo Watz.

Wapo wengi humu wanaishi abroad lkn wamekaa kmy ila ingekuwa ata ww watchman tungekoma humu
 
Mji wenu umejaa mapori ndio maana mnapata maeneo ya kuchezea kwa kujenga hizo barabara mapambo. Dar hakuna mapori hivyo hakuna nafasi ya kutumia hovyo hovyo. Siyo kwamba pale ubungo tulishindwa kujenga hayo madoido ila gharama za kulipa fidia zingefanya hata huo mradi usiweze kutekelezeka kwani gharama ingekuwa hata mara nne ya hizo zilizotumika kujenga hiyo interchange
We Lia kabisa,mapori muhimu Sana kwa mji,husafisha hata hewa,,hio ubungo kwa kweli Ni msalamba tu hakuna chochote🤣
 
Kumbe Dar ni kubwa kieneo tu Much of it hakuna cha kushangilia and a good example is this picture. Tukiondoa hiyo barabara, hiyo sehemu imepigwa picha hata kijijini kwetu ni afadhali
We unajua hapo ni wapi nimecheka sana wallahi, hiyo ndiyo homa ya jiji kimara-kibaha highway, ni moto hyo road, nasema hivi hakuna road inafanyiwa decorations km hiyo kwa hapa EA hakiya ya nani nakwambia, hiyo barabara inatengenezwa jamani.

Juzi nilipita hapo narudia tena wakuu naomba muisave hii comment HAKUNA ROAD INALEMBWA KAMA HIYO HAPA EA, km ipo basi sijawahi kuiona. Perhaps ile ya Uganda but nayo haiingii hiyo ya kimara-kibaha highway, muda utaongea.
 
Kumbe Dar ni kubwa kieneo tu 😂 Much of it hakuna cha kushangilia and a good example is this picture. Tukiondoa hiyo barabara, hiyo sehemu imepigwa picha hata kijijini kwetu ni afadhali
Kumbe umeona Kama Mimi,kunakaa nikama Dar iko 200km far
 
Mkuu Chamoto umeona ss, nilikuambia mm hawa watu tuwaache wafe tu wala tusiwape siri mana ni wabishi sana, btw huyo chamoto hayuko Tz, anaishi America huko ambapo ingekuwa ni Mkunya watu wote tungejua humu but huyo chamoto amekausha tu na ndivyo tulivyo Watz.

Wapo wengi humu wanaishi abroad lkn wamekaa kmy ila ingekuwa ata ww watchman tungekoma humu
Kwani ni wewe umeshikilia maisha ya watu humu ndani ndio useme uwaachilie wafe? Mbona unaongea kiboya hivi? Halafu this is internet, you may think you know a person kumbe you don't know anything about them. Just the same way you think you know me ila hakuna unachojua kunihusu hata chembe. You've just given an example with Chamoto. He hasn't talked about his whereabouts or what he does for a living but you've taken it upon yourself to tell the world about him like he asked you to. Hizi tabia ni za kike
 
We unajua hapo ni wapi nimecheka sana wallahi, hiyo ndiyo homa ya jiji kimara-kibaha highway, ni moto hyo road, nasema hivi hakuna road inafanyiwa decorations km hiyo kwa hapa EA hakiya ya nani nakwambia, hiyo barabara inatengenezwa jamani.

Juzi nilipita hapo narudia tena wakuu naomba muisave hii comment HAKUNA ROAD INALEMBWA KAMA HIYO HAPA EA, km ipo basi sijawahi kuiona. Perhaps ile ya Uganda but nayo haiingii hiyo ya kimara-kibaha highway, muda utaongea.
Aii hii sa inaweza Thika road??tena hakuna cha ajabu hapa,no nothing just a wide road,kuja Kenya ujionee superhighway with many overpass, underpass, modern footbridge, interchanges,NMT from Nairobi to Thika,hii yenu interchange Ni moja tu🤣🤣🤣
 
We unajua hapo ni wapi nimecheka sana wallahi, hiyo ndiyo homa ya jiji kimara-kibaha highway, ni moto hyo road, nasema hivi hakuna road inafanyiwa decorations km hiyo kwa hapa EA hakiya ya nani nakwambia, hiyo barabara inatengenezwa jamani.

Juzi nilipita hapo narudia tena wakuu naomba muisave hii comment HAKUNA ROAD INALEMBWA KAMA HIYO HAPA EA, km ipo basi sijawahi kuiona. Perhaps ile ya Uganda but nayo haiingii hiyo ya kimara-kibaha highway, muda utaongea.
Bongolala, I was making reference to the surrounding area, not the road in particular. Nimesena hiyo sehemu inakaa kijijini. Hata kijijini kwetu afadhali
 
Apo Ni kibamba mwisho barabara pembeni apo 90m each side hakuna nyumba zilivunjwa...kutoka apo hadi city centre ni 35km
Nairobi to Thika many visitors don't know when they are in or out of Nairobi,,huwa zimeshikana na Ni a stretch ya over 45km😍
 
Back
Top Bottom