President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Jana wakati tunaingia mlima kitonga. We were cruising.
Wanapitia machungu makubwa mnoo.huyu jamaa kila siku anafungua nyuzi na wala hata hazieleweki
Nimeshangaa kule Tz kumbe kuna shule za serikali ambazo ni English medium, wenzetu mbona huwa wanajikanganya hivi
hiyo ndiyo maana halisi ya treni ya umeme...Lobby ya Nairobi Terminus haifikii hii hata robo! Nairobi terminus Imekaa kama warehouse! Dude lina Milango manual ya kusukuma! Njoo Dar SGR station uone milango yenye sensor ya kufunguka automatically!
Nairobi plus thika = KigamboniNairobi to Thika many visitors don't know when they are in or out of Nairobi,,huwa zimeshikana na Ni a stretch ya over 45km😍
watu wapo serious na hii kitu
Huoni nyumba? Nyumba zipo kwenye hiyo woodlandsTembea bas ujionee maana ya metropolitan,,Thika huwa imeshikana na Nairobi,,hakuna gap Kama hizi ambazo hazijajengwa
yaah ni mahitaji hiyo sehemu ina deserve kujengwa hivyo siyo vichakani hapo.....Hapo ndio huwa mnanishangaza sasa. Eti Kenya ikifanya kitu au kujenga kitu, it's not because of demand ila Tanzania ikifanya hivyo, it's because kuna mahitaji. Aya basi wewe niambie, hiyo mnayoplan kujenga Mwanza ni kwa sababu ya mahitaji ama?
hawana akili hawaelewi mamboMnakijua chuo cha Ardhi, ARU kinatoa kozi ambazo huwezi pata chuo chochote Eastern en central Africa
32km siku hizi inasomeka 52km? 😅😅😅Jamaa anasema eti Kutoka mahali hiyo picha imepigwa hadi city center (posta) is 35 kms!! 😂 😂 From Nairobi to Rironi interchange is 52 kms using A1 (Waiyaki Way) but huwezipata sehemu inakaa hivyo. All that stretch is built up on both sides of the road. Dar is so overrated
Mmmmh acha kujishaua hapa, unataka kutuaminisha nini sasa? Eti Hakuna nyumba? Punguza mihemko, tena hilo eneo lina mijumba ya kufa mtu na ni maeneo cool sanaHii imenishangaza sana. Yaani 35 km from Dar hakuna majumba yet Kenya 35 km from Nairobi kuna majumba na apartments za watu kuishi? Naongea kuhusu maeneo ya Juja na Thika. This is suprising. To make matters worse, ikumbukwe kwamba Dar can only expand in one direction in the inland direction. Dar haiwezi kuexpand towards the ocean so I expected Dar iwe ime-expand more than 60 kilometres inland. Nairobi inaweza kuexpand in all directions and ukienda 40 kilometres in all directions bado utapata majumba huko.
Cc kikihboy Geza Ulole The best 007 Venus Star
Za ushago hizo.Mmmmh acha kujishaua hapa, unataka kutuaminisha nini sasa? Eti Hakuna nyumba? Punguza mihemko, tena hilo eneo lina mijumba ya kufa mtu na ni maeneo cool sana
Hizi sio nyumba?
View attachment 1679446
Naona traffic lights zimeanza kuwa widespread hata kwenye estates. I am happy to see that.
Alafu unaskia mtu anakwambia Dar ni kubwa kuliko Nairobi. Remember Dar is a coastal city. Ujenzi umespread half the directions - yani 180° Wakati Nairobi ni inland city, ujenzi umespread all directions, yani 360° .Hii imenishangaza sana. Yaani 35 km from Dar hakuna majumba yet Kenya 35 km from Nairobi kuna majumba na apartments za watu kuishi? Naongea kuhusu maeneo ya Juja na Thika. This is suprising. To make matters worse, ikumbukwe kwamba Dar can only expand in one direction in the inland direction. Dar haiwezi kuexpand towards the ocean so I expected Dar iwe ime-expand more than 60 kilometres inland. Nairobi inaweza kuexpand in all directions and ukienda 40 kilometres in all directions bado utapata majumba huko.
Cc kikihboy Geza Ulole The best 007 Venus Star
Soon the whole city will have traffic lights. Shida tu ni Eastlando juu ya vandalism.Naona traffic lights zimeanza kuwa widespread hata kwenye estates. I am happy to see that.