Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahahhaha🤣🤣🤣👇👇👇 leo hasira zimewashikeni
66187B79-11D9-4043-BDB8-2523111891E4.jpeg
81AC34EF-558C-48BC-9671-A8FB0E774BFC.jpeg
B05B530A-FD78-4F46-9951-72013681E6C2.jpeg
3EB2A264-2715-4261-BDD8-58ADA525D390.jpeg
D60165DF-8FE0-4678-ACC2-7B14FE00D593.jpeg
918DAF32-41A5-416F-B9F8-5AFEFE494256.jpeg
395877BC-0C31-430B-B263-2029F97A88A8.jpeg
E4F25532-EB33-467D-A32C-F41AC388DFE2.jpeg
6BD412A0-4F2E-4C9C-81C9-3485AF0792BF.jpeg
9187F0F9-3FD0-40EB-A405-97C719AB0670.jpeg
E9FB747A-9C86-435F-95AF-96D641D50010.jpeg
 

Yaani nyie jamaa badala ya kutengeneza Stesheni za treni mumetengeza kumbi za harusi...yaan hzo stesheni zenu ndo kumbi za harusi na mikutano uku Bongo...Nyie Kenya mkoje[emoji16]...mnaenda tofauti kabisa na dunia ya sasa yaan juzi juzi tu jamaa kawachana kuwa Daladala (matatu) zenu uku Bongo tumeziweka kwnye makumbusho ya Taifa kuwa zilitumiwa na akina Nyerere.
 
Elimu ya juu ya Tanzania inaenda kuwa kama ya ulaya [emoji1241][emoji1241][emoji310]
Zamani ilikuwa kila mwezi wanakula kitasa, baadaye ikawa kila wiki kitasa, siku hizi imekuwa haipiti siku bila kitasa, mda c mrefu itakuwa kila baada ya lisaa ni kitasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miradi mingi inayo endelea Tanzania zaidi ya 70% inajengwa na wachina
Km ni hvo basi mbona phase one mliwakejeli baada ya kuona mumepigwa ndio mkaamua kunrudia tena na kumuomba loan juu[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom