Billionare laizer ajenga shule aikabidhi kwa serekali👇👇
. Yo what's good my beautiful people .? Kenyans ar u there.? 😂😂😂 Upcoming East Africa's giant .. by the way hiyo sgr terminus ya dsm hauwezi kukutananayo popote pale EA
😅😅😅 Ya Mwanza itakua balaa, mchina lazima anikomeshee mturukiNa mwanza unafkiri itakuaje ??😅😅😅😅 lazma wachina wafanye maajabu kujikosha mbele ya waturuki
Nadhani station ya Mwanza itaifunika hadi ya Dar.Na mwanza unafkiri itakuaje ??😅😅😅😅 lazma wachina wafanye maajabu kujikosha mbele ya waturuki
Of course itakuwa maintained. Hapo unaona ni fantastic na bado it hasn’t even come to life. Bado businesses hazijaanza kuingia, bado hawajaweka furnitures na bado hawajaweka Alama za maelekezo. Vitu vyote vikikamilika it will look even better!Tusemeni ukweli hii terminal haina muonekano wa public structure at all kama mtu alishaingia Kilimanjaro kempisk hotel interior design yake ipo exactly kama hii terminal
Hii terminal unaweza sema ni 7 star hotel, ipo so luxurious and unique to the extent hata naogopa kuongelea how we gonna keep this beauty live long 😍😍😍😍
Kwani lile Basi ni la mtz?Dereva wa hilo lorry ni Mtanzania na yeye ndiye alipoteza control ya gari. Swali linastahili kuwa "tatizo nini Watanzania mbona hamjui kuendesha gari?"
Nimefurahi SanaHeheheheee Yanga ndiyo timu pekee duniani haijafungwa hata mechi ya kirafiki.
Mazoezini tu hawafungani dadadekiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Of course itakuwa maintained. Hapo unaona ni fantastic na bado it hasn’t even come to life. Bado businesses hazijaanza kuingia, bado hawajaweka furnitures na bado hawajaweka Alama za maelekezo. Vitu vyote vikikamilika it will look even better!
. Yo what's good my beautiful people .? Kenyans ar u there.? 😂😂😂 Upcoming East Africa's giant .. by the way hiyo sgr terminus ya dsm hauwezi kukutananayo popote pale EA
Ya Dom itakuwa ni hatari hatari mzee, sizani km itakuwa na mfano wake hapa Africa.Showstopper ya kibabe, Hakuna terminal ya Kenya inayofika hata robo ya hii, sasa kama Dar wamefanya maunyama hivi, Dom HQ na largest terminal sijui Itakuaje
Na dizain tunawapa sisi wenyewe hakuna kuweka makofia yao km walivyofanya kunako KunyalandNa mwanza unafkiri itakuaje ??lazma wachina wafanye maajabu kujikosha mbele ya waturuki








Kwahiyo bado tunaendelea kuvunja rekodi zetu wenyewe, yn kila terminal ikiisha inafunika iliyopita, na terminal zote zinakaa airport, ss km Wakenya walipagawa na Dodoma bus terminal je hizi itakuwaje?nasubiri Mbezi bus terminalTusemeni ukweli hii terminal haina muonekano wa public structure at all kama mtu alishaingia Kilimanjaro kempisk hotel interior design yake ipo exactly kama hii terminal
Hii terminal unaweza sema ni 7 star hotel, ipo so luxurious and unique to the extent hata naogopa kuongelea how we gonna keep this beauty live long![]()





