The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Ni vitasa mpk wakohoe, hii speed Tony254 huwa anaiita speed of light [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tz leo kama mbele View attachment 1677186
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vitasa mpk wakohoe, hii speed Tony254 huwa anaiita speed of light [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tz leo kama mbele View attachment 1677186
Zaidi ya mwangaNi vitasa mpk wakohoe, hii speed Tony254 huwa anaiita speed of light [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umechukua saa hii zen ukaipiga make up kabla hujaipost humu au sio, tangu lini Thika road ikawa safi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nmechukua hii picture saa hii pale kasarani[emoji91][emoji91]
View attachment 1677219
Tuliwaambia huwa hatukosei, wasubiri mda wakabisha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]uhunye mda huu anatamani stations zao na reli yao yote zibomolewe na zijengwe upya ili kuzifunika za Tanzania.
this is what we call the VALUE FOR MONEY!
Zilete🤣🤣🤣🤣Nkileta interior za SGR Kenya najua itakaa kimya
Mbn kama huelewek ww...au unauchiz...siulijifanya kana kwamba hakuna 7 stars?[emoji1787][emoji1787][emoji23]Sasa unaweza kulinganisha hilo kopo la uji hapo Dar na hizo hoteli ulizotaja?
Waje kuona GEM 💎, precious one.Wakunya walio ipotezea ile video bado ili zimwi linawafwata ukuuku[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 1677297View attachment 1677299View attachment 1677300View attachment 1677302View attachment 1677303View attachment 1677305View attachment 1677307View attachment 1677311
Hadi Maalim Seif
Hebu jaribu uone kama hapa utatoka 🤣🤣🤣👇👇👇🤣🤣🤣🤣Nkileta interior za SGR Kenya najua itakaa kimya
Una exposure ndogo sana kijana ila wakenya na modernity wapi na wapi?Wewe hujui unachozungumzia. Eti seven star. Kuna hoteli yoyote ya 7-star duniani? Nitajie tu hata moja.
Nyinyi ni washamba. Kwani hamjawahi kuona escalators? Escalators ziko hata kwenye SGR stations za Kenya.
Hebu jaribu uone kama hapa utatoka 🤣🤣🤣👇👇👇
Miradi mingi inayo endelea Tanzania zaidi ya 70% inajengwa na wachinaHivi wachina wameshakua maswahiba ghafla na wakati phase one mliwakataa[emoji23][emoji23]
Kenya hakuna stesheni mbovu
Quite basic Hakuna maajabu yoyote hapo, Hakuna uniqueness yoyoteNtakuanza na tatu pekee, baadaye talatea nyingi
View attachment 1677377View attachment 1677378View attachment 1677379
🤣🤣🤣🤣Ameanza kulialia na yao ndiyo inayokaa tu basic,like a mall or a bankQuite basic Hakuna maajabu yoyote hapo, Hakuna uniqueness yoyote