Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sioni tower mm,nyie ndio mmeanzisha maneno ya khanga ooh Dar tower tatu tu ooh sijui nn wewe ukiangalia hapo unaona nn?kama hapo waziona tower hapa zipo ngap
IMG_20171130_114108_202.jpg
 
Nimekuja kungundua kitu kimoja,Tuwache kulinganisha Dar na Nairobi,sababu dar ipo level yake ya kipekee amabayo ni ya juutunaidhalililasha Nairobi Sana,maana mji mkuu wa Kenya upo disorganized, dirty,poor planned, overcrowded,cases za insecurity ziko juu,makao makuu ya watu homeless A.K.A familia za mitaa chokoraa Yani waulize wakenya waliomo humu ndani kama wanaweza wakanunua hata juice,wakanywa bila usumbufu wa street children omba omba upande mwingine Dar is well planned ina grow kila siku,clean,modern,safe,organised etc
Insecurity hii hapa, aibu sn

Screenshot_20210111-234403.jpg
 
Sasa mbona unasisitiza ni vichakani wakati hata hujakanyaga huko. Kama hiyo ya Suswa ni banda ya kuchunia ngozi ya ng'ombe, hii yenu tataitaje?
View attachment 1675105View attachment 1675108

kuna kitu kinaitwa value for money (getting the right quality, in the right quantity, at the right time, for the right/optimum purpose at the right price)..
sio nyie mmejengewa hekalu la mabilioni ili kuhifadhi popo
 
Sioni tower mm,nyie ndio mmeanzisha maneno ya khanga ooh Dar tower tatu tu ooh sijui nn wewe ukiangalia hapo unaona nn?kama hapo waziona tower hapa zipo ngapView attachment 1675182
Mkuu siyo kwamba hawaoni hizo towers nyingine bali wanazipenda sana hizi towers 3 kutokana na design yake kuwa nzuri na ziko very colorful. Na kama hizi tower zingekuwa Nairobi amini nakuambia wangekuwa wanazipost humu kila siku toka asubuhi hadi jioni. na ungesikia wakitamba kwamba "The best colorful towers in Africa".
 
Mkuu siyo kwamba hawaoni hizo towers nyingine bali wanazipenda sana hizi towers 3 kutokana na design yake kuwa nzuri na ziko very colorful. Na kama hizi tower zingekuwa Nairobi amini nakuambia wangekuwa wanazipost humu kila siku toka asubuhi hadi jioni. na ungesikia wakitamba kwamba "The best colorful towers in Africa".
bila kusahau wangeziongeza na minara juu
 
Back
Top Bottom