curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
Jengo la nn ilo
nifike suswa kufanya nin vichakani uko.....?.. ni bora niende village nikalime na kukandamiza natural food....Umewahifika Suswa ukajua ni pori? Or is it just because inashinda zile zenu kwa ubora?
Apo tower ni ipi?Au maana tower Za bongo zinawanyima usingiziLatest pic,usilie Sana
View attachment 1675052
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nikama dump site kwa umbaliYani nakwambia majengo ya kupimiana hewa walai
Haha unamaanisha blue towers 🤣🤣kwa Gtc only haziwezi jitoaApo tower ni ipi?Au maana tower Za bongo zinawanyima usingizi
Acha kuhamisha Goli...CBD Yenu haina TowerHaha unamaanisha blue towers 🤣🤣kwa Gtc only haziwezi jitoa
View attachment 1675060
Tunatower 3 Au 22?hueleweki
Majengo ya over 20 floors mkona 22 pekeeTunatower 3 Au 22?hueleweki
halafu wakenya parking zao za magari kwenye maghorofa huwa zinakaa mfumo gani...Hiyo ndiyo best CBD yenu!? hahahahaha!! Nimecheka mpaka nikashika mbavu zangu. Sasa majengo hayo ya kizamani.
Yaani you build blocks from the ground to the top. The buildings are so heavy.
Colonial era designs
Ukiona jengo kama hill Nairobi nisitue.
Very beautiful, elegant
Mwenge CBD
View attachment 1675003View attachment 1675004
Hii nayo cbd, jamani jamani jamani[emoji2960][emoji2960]Hiyo ndiyo best CBD yenu!? hahahahaha!! Nimecheka mpaka nikashika mbavu zangu. Sasa majengo hayo ya kizamani.
Yaani you build blocks from the ground to the top. The buildings are so heavy.
Colonial era designs
Ukiona jengo kama hill Nairobi nisitue.
Very beautiful, elegant
Mwenge CBD
View attachment 1675003View attachment 1675004
Hospitali ya rufaa ya kanda ya chatoJengo la nn ilo
You’re trying so hard.Latest pic,usilie Sana
View attachment 1675052
Hawa wapo denial stage watakubali tu [emoji3][emoji3]The kind of headings on newspapers in Kenya when our electric trains arrive,
"South Korea grants Dar locomotives for SGR phase I"
Zikiwa bullet ndo hamtazungumza ila ikiwa mitungi mtapiga kelele sn.Zikiwa bullet trains za kweli zenye sura nzuri lazima tutahisi wivu lakini zikiwa mtungi wa chang'aa hakuna media yoyote ya Kenya itakayozungumzia hilo swala.
wivu wa ku-smear campaign sio? Be prepared ....!Zikiwa bullet trains za kweli zenye sura nzuri lazima tutahisi wivu lakini zikiwa mtungi wa chang'aa hakuna media yoyote ya Kenya itakayozungumzia hilo swala.
Population ya lake zone ni kubwa mno hawawezi kutegemea bugando pekeeNyie mna upendeleo mwingi. Sasa Chato ni katown kadogo sana lakini pesa yote ya serikali inamwagwa huko kwa sababu Magufuli anatokea Chato. Mwanza ndio HQ ya lake zones.
Ingekuwa hivyo mloganzila isingejengwa pwani kwa sababu dar ndio center ya zone hiiHakuna shida as long as Chato nayo ni Tz, so hata mm pia naweza kwenda kuishi kule, ss nyie mnataka kijiji kiendelee kuwa kijiji mjini kuendelee kuwa mjini km huko kwenu au sio.
Kama hukubaliani nayo weka unayokubaliana nayo, simple like that [emoji3][emoji3][emoji3]Hehe 2017,,na sikumbaliani na hii data,am waiting ya 2020 mtajua hamjui[emoji16]