President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,543
- 94,041
Lungalunga Border to Mbamba Bay 1,457kmMzee nataka unionyesha neno "paved" maana sijaiona. Kuna aina nyingi za barabara ikiwemo murram road, bitumen na kadhalika. Hio 80k ni mchanganyiko wa murram na bitumen/ asphalt. Wamesema tu 80k of road, hawajasema 80k of paved road.