Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


hii battle ya barabara nilikuwa naifatilia nilijua jamaa ataenda vizur.. kumbe kaanza kucheat [emoji23][emoji23]
 
Unaropokwa nini na Kenya huwa inawapiga kwenye idadi ya tourists kila mwaka. Nyinyi huwa mnatupiga tu kwenye revenue mnayopata from tourism.
Hapo unamuumiza sana walai, hataki kuskia kabisa hilo..
Anataka kusema kwao ndiko watalii wanapapenda sana lkn akiangalia katika idadi tumewapida inabidi anarudi nyuma na kujisonya[emoji23]
 
Sijui kama mumetuzidi au la kwenye paved roads. Kwenye vitabu inasema kwamba tumewapiga ila kwenye ground inaonekana mambo ni tofauti. Sasa mimi nakosoa serikali yenu kwa kutoupdate vitabu vyenu.
Basi nakuomba utuwekee list ya hizo barabara zenu kwa majina tuone kama kweli urefu mnaodai ni kweli.
 
Sikupingi
 
Hapo vipi[emoji23][emoji23]
Yani sai hamjui km mtataja wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…