Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Xi Jinping hopes to get Bagamoyo mega-port back on track​

On 7 and 8 January, the Chinese foreign minister Wang Yi will be trying to persuade Tanzanian president John Magufuli to resume construction works on the huge Bagamoyo deepwater port. Since he came to power, the project has been more or less constantly on hold. [...]

 
ichoboy01 lile jengo la 88 Nairobi ulilosema kwamba halitawahi kujengwa basi zege (concrete) imeanza kumwagwa kwenye foundation. Jengo lenyewe litakuwa na 44 floors

23A0B70E-531B-4AC9-9640-80634B898B8C.jpeg
9B9AC88F-9C9F-4527-91FC-C4826B2CC7C2.jpeg
BB760F7A-1B40-4D5B-BCFD-7AC09FAC7B58.jpeg
4DBD17D0-A9B5-4D20-B4CB-74F7A832621D.jpeg



Jengo litafanana hivi likikamilika
images (2).jpeg
images (3).jpeg
 
Wakitoka hapo wanasambaa kwenye national parks kila kona
Ni watalii wachache sana wako interested na Kuona wanyama,
Wengi wanapenda bata, beaches nzuri, msosi mzuri, culture, hospitality, affordability etc
Inatakiwa kuangalia hilo kama serikali kama tunahitaji watalii wengi zaidi,
Cape town, Alexandria, Zanzibar, Rabat ni miji inayoongoza kupokea watalii wengi zaidi Africa na hakuna national parks.
 
Kwenye bridge sidhani kama tunaweza kushindana na nyinyi. Mko vizuri zaidi. Ni vizuri kusema ukweli. Lakini nyie kwenye malls na kwenye barabara hamuwezi kutugusa.
Kwenye barabara sio kweli. Kenya inadanganya kwenye statistics.

Hebu tuambie connections za county na county. Kisha na sisi tutakupatia.
Mfano Nairobi to Wajir, Wajir to Masarbat nk.
Sisi tutakupatia Dar to Lindi and Lindi to Mtwara.
 
Back
Top Bottom