Jaribu kumuelimisha mwenzako Venus StarHongera mkuu km hii yako mana hata mm nina mpango wa kupiga CPA(T) so kwa hili nakupa kongole mana sisi wahasibu tunajua ugumu wa hii kitu, safi sana ila uwache kujiita mchumi jiite muhasibu.
Hahahahaha. Basi tulia wacha majivuno.Huyo jamaa Simon amekuwa akinitafuta sana lakini leo amenipata. Yeye mwenyewe anajua tulipitana wapi. Nilimuomba babayao255 asipost details zangu humu lakini Simon akajiona malaika sana akaamua kunianika na mimi nikaamua kujianika zaidi. Details zangu naweza kuzipost zote. Na yeye asinimention.
Sawa mchumba cku hz ata mm najishangaa sn nmekuwa mzembe kweli kweli, nilikuwa nawacheka wenzangu zamani kwmb unakoseaje spelling naona nowadays hilo jini linaniandama kweli kweli [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji375][emoji373][emoji2923]It's called Twitter na sio tweeter [emoji23][emoji23][emoji23]. Twitter is the app, tweeter is the person twitting[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Wewe na Teargass mnatumia ubongo mmoja!?Jaribu kumuelimisha mwenzako Venus Star
Nimeliona mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahahaha. Basi tulia wacha majivuno.
Bro mimi nimesoma uchumi kwenye university. Nitakuambia mara ngapi? Mbona mnasumbua sana Watanzania? Ama lazima niweke certificates zangu za university ndio mkubali? Nimechoka kudebate. Uki insist basi nitapost kesho. Unikumbushe kesho. Nitapost transcript ya fourth year.Hongera mkuu km hii yako mana hata mm nina mpango wa kupiga CPA(T) so kwa hili nakupa kongole mana sisi wahasibu tunajua ugumu wa hii kitu, safi sana ila uwache kujiita mchumi jiite muhasibu.
Hapa ndipo unapokunya, Tz ndipo mahali hesabu imezaliwa, nahisi ww ulisoma History, Geography and Economics at o level na hujawahi kabisa kusoma pure mathematics[emoji116][emoji116]Kwenye CPA kuna unit inayoitwa quantitative analysis ambayo ni hesabu tupu. Syllabus yenu ya accounting sio sawa na yetu. Yenu pengine haina mahesabu lakini yetu baadhi ya units zina hesabu.
Nijibu basi wewe mtoto wa kike. Niliona clip ile ukiwa na yule demu rafiki yako. Je yupo free nataka nije huko kenya anipe company.[emoji23][emoji23][emoji23]katoa povu jingine [emoji23][emoji23][emoji23] kaandika hadi ‘gazeti’ la vyeti.. vyeti vyake mim vinanisaidia nn
Hzo ni tabia za kike..[emoji23][emoji23][emoji23]katoa povu jingine [emoji23][emoji23][emoji23] kaandika hadi ‘gazeti’ la vyeti.. vyeti vyake mim vinanisaidia nn
We ukija kenya hata KCSE hukalii unarudia la nyuma ufanye mwaka kesho[emoji1787][emoji1787]Wakenya hawaishi maajabu kujua tu kufungua makabati, na balance sheet ,tayari ushakuwa mwanahesabu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe teargass ndio komora096 ckuwa najua aisee mana niliwatongoza wote [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yaani nimesema angalau kidogo Tony kaweka certificates zake tunaweza kumwajiri. Sasa wewe mtoto wa kike umesomea nursing utaosha wagonjwa vidonda vyao saa ngapi!?
Aka komora hahahaha.
Hahahahaaa MK254 alishaona huu uzi ni wamoto sn hawezi katiza hapa, ataishia kupita tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahah, mkuu spare my gamora. Hana majivuno ya Kijanga kama hawa wakenya debe tupu school dropouts
I assure you hata yule mzee wao MK254 hana shule.. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaha ni demu yule yule. Nataka nijaribu kula mademu wa kenya sijui kama ni watamu. Kuna demu mmoja rafiki yake nataka aniunganishe nimle.Kumbe teargass ndio komora096 ckuwa najua aisee mana niliwatongoza wote [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
HahahahaaaWewe na Teargass mnatumia ubongo mmoja!?
Leo nmecheka sn wallahi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]eti nilikuwa namtafuta.. nimtafute kwan amekuwa mke wangu?!![emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha. Wewe jamaa unanichekesha.Wakenya hawaishi maajabu kujua tu kufungua makabati, na balance sheet ,tayari ushakuwa mwanahesabu [emoji23][emoji23][emoji23]