Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,039
- 107,548
hahah wacha wivu mzee unajua A to Z katika huu uzi!Mimi sina muda mwingi wa kufuatilia uzi huu mrefu ambao hauna mwanzo wala mwisho. I have better things to do. Huwa naingia kwenye uzi huu dakika chache tu na kuondoka.