Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulisema humu kwmb hii nchi huwa tunakaa kmy tu ila tukiamua hakuna nchi yoyote inatukaribia EA yn kifupi tuna zi mask nchi zote za EA [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaha washatepeta wakati ngoma bado mbichi 😅😅😅
 
My God. Hio Ngong market ni kali sana. Sikujua Kenya tuna markets kali namna hii. I have learnt alot today. Ndio maana hawa Malazy wamekasirika hivyo leo
Majamaa wamelia kweli kweli[emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha washatepeta wakati ngoma bado mbichi [emoji28][emoji28][emoji28]
Ngoma ya render ama?[emoji1787][emoji1787][emoji23] Nyinyi mtabaki na maneno tu lakini kwa ground you will be in the level of Somalia[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Majamaa wamelia kweli kweli[emoji1787][emoji23][emoji23]
But honestly sikujua Kenya tuko juu hivyo. Kwanza nimeona hio Kongowea market mpaka nikashangaa. Na Ngong market pia sio mchezo. Ni vile tu huwa sina muda wa kusearch hizi vitu. But thanks kwa kutuchanua.
 
Unanitisha sasa sie tulio nje ya C family inakuaje? Python nayo haiiwezi C family?
Python nilipata project moja kwa namna fulani Python ipo nje kidogo. But kama upo na basics nzuri za programming ni rahisi tu kufanya C family.
By the way mimi huwa ninafanya na VB.

Python ni nzuri sana kwenye artificial intelligence kwenye data miming.
Kama unataka ku base sana kwenye data miming Python is good.
 
But honestly sikujua Kenya tuko juu hivyo. Kwanza nimeona hio Kongowea market mpaka nikashangaa. Na Ngong market pia sio mchezo. Ni vile tu huwa sina muda wa kusearch hizi vitu. But thanks kwa kutuchanua.
Most people are usually not interested in them that's why you find few people talking about markets.
 
Python nilipata project moja kwa namna fulani Python ipo nje kidogo. But kama upo na basics nzuri za programming ni rahisi tu kufanya C family.
By the way mimi huwa ninafanya na VB.

Python ni nzuri sana kwenye artificial intelligence kwenye data miming.
Kama unataka ku base sana kwenye data miming Python is good.
VB pia mi nipo huko! Na-base sana kwenye data analytics though!
 
Mbeya modern market

hqdefault (11).jpg
hqdefault (12).jpg
maxresdefault (23).jpg
 
Back
Top Bottom