Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila Magu jeuri, yn mchina imebd amfate kwake kabisa na wala hana haja ya kukutana na mchina Dar, as long as amekuja kuomba kazi basi aende kijijini.

Sipati picha ingekuwa ni nchi fulani yn angepokewa capital city angelambwa mpk makalio, hahahahaaa jamaa kwakweli wana mambo mengi ya kujifunza kutoka kwetu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😅😅😅😅😅 Halafu toka airport mpaka huko mwaloni wala hajaonana na Magu, leo ndio wataonana ila kwa watu fudenge yule madenge ndio angeenda kumpokea airport na mizinga ya kijeshi na gwaride 😅😅😅
 
Mwalimu Nyerere Leadership School
Cafe
IMG_20210108_110249_726.jpg
IMG_20210108_110306_902.jpg
IMG_20210108_110318_704.jpg
IMG_20210108_110327_065.jpg
 
Ona uchafu wa Mombasa huo, kujenga ndo hawataki, wameng'ang'ana na majengo ya mkoloni, gharama yao rangi tu, wazembe sn nyinyi [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
Umekasirika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani wewe unifundishe mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] hio nairobi naivashaView attachment 1671474
Jibu swali bana acha kunengua hapa..
Ila ukiamua kujitoa ufahamu sio vibaya[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hujajibu swali bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sgr mombasa nairobi ni KM ngapi?
Uanrukaruka nn na wakati nataka kujua uwezo wako wa kufikiri
 
Na hatuwez kujenga double track [emoji1787][emoji1787] unalazmisha tufanye hvo wakat hatuwez fanya hvo
Swali ni je zitakua 400km[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna swali mboga hilo, ila kw mnenguaji atarukaruka mpka mwaka uishe
 
Back
Top Bottom