Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shule ziwashinde colleges ndio muweze? Are you a clown? 🎃🎃🎃🎃
 
unajua ulisemalo ama ni kuropokwa?😂😂😂 wafanyikazi wa kenya wanapata mishahara zaidi ya wa kwenu na bado wanataka waongezewe mishahara zaidi kama walivyo sikilizana na muajiri, na wengine wanataka wapandishwedaraja kama ilivyo desturi., Kenya sio Tanzania ambayo serikali inakunyanyasa na haujui haki yako, pole next time ata kama ni uzembe, try to get proper background info ya what is happening😂😂😂😂, Tanzania imewai kua na industrial strikes kweli?., mumeshikwa makende deadly!
 
Shule ziwashinde colleges ndio muweze? Are you a clown? 🎃🎃🎃🎃
Jengeni shule iambatane na population yenu., kisha mtafute walimu wa kenya zaidi tuwaondolee ignorance iliyo kithiri, kwanza wewe jiangalie ulivyo ndwazi!, hauna uwezo wa kufikiria zaidi ya pua lako😂😂😂😂
 
Ila wakuu mturuki japo yuko slow lkn kazi zako zinapendeza sn machoni au mnasemaje wakuu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Binafsi nilipenda ajenge njia nzima to mza and kgm lakini ndio hivyo tena.
Ila najiuliza $1.3 kwa km 341 duh kama kiduchu!
Mchina asije jenga Station za sifa mza na shy😄😄😄
 
Huyu hakuwa mungiki mwenzio? 🎃🎃🎃
 
Huyu hakuwa mungiki mwenzio? 🎃🎃🎃
Depends with the county which he belongs|(health is a devolved function in Kenya), and on what terms were his contract too, of which they get their money even if it delays, inakuja kwa ujumla! I insist always get to the bottom of how things are done in Kenya then argue, that aside, get the background info about the latest health strike., sawa?
 
habari kama hizi ni mbaya sana kwa wakenya [emoji23][emoji23]
View attachment 1670962
Media za Kenya zimesusia hii habari! Unajua unapokuwa na ukata wa ku-finance budget halafu mwenzio anatoa $1.3 bln cash lazma upatwe na homa ya maharuani! Siwashangai!

Tayari Tony254 anadai ati tutajengewa kwa mkopo kama wao!
 
Today's facts.

Did you know that Kenya has twice the number of Primary Schools as Tanzania despite Tanzania having a bigger population?[emoji1787][emoji1787][emoji23]


I think you should know that.
You must be slowly loosing your mind. Be careful!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…