Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakuna shule ya serikali mliopost, zote mlizopost zimejengwa na wafadhili wazungu na nyingine umekiri mwenyewe 80% zinafadhiliwa na taasisi za kidini

Pamoja na hivyo bado tumewakalisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
quote shule yoyote ya kenya imepostiwa unaona si public school acha kulia
 
Kenya High School. Wengine watasema hii ni private school😂😂😂

images (26).jpeg
images (24).jpeg
images (27).jpeg
 
Nani alikwambia kenya muna aseemble scania trucks nani aliwadanganya nyinyi [emoji1787][emoji1787] kama ni assemble za mabasi tanzania ipo mbona shida ilikua kwenye trucks[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] View attachment 1668044View attachment 1668046View attachment 1668047View attachment 1668048View attachment 1668049View attachment 1668050View attachment 1668051
Waliosema ni scannia wala sio mm[emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe tuonyeshe hzo assemble za scannia busses zinafanyikia katika kampuni gani
 
Jamaa kanaogopa kutaja jina. Kama wewe ni mwanaume kweli ebu taja jina la hilo shule.[emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nenda One Planet School naona unataka kutuma applications, hatuajiri wakenya no longer 😅😅
 
Wakenya tukisema Tz iko mbele yenu kila kitu tunamaanisha, angalieni Government school za Tz zinavyofanana na wala haturingi bado tunajenga zingine nyingi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Primary schools vs sec schools
 
Back
Top Bottom