Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tabora boys secondary school, very interesting
Screenshot_20210105-001052.jpg
Screenshot_20210105-001128.jpg
 
So there are no Primary Schools in Tanzania to compare na za Kisumu[emoji23][emoji23]
 
So there are no Primary Schools in Tanzania to compare na za Kisumu[emoji23][emoji23]
Hahahahaa inabd useme kwnz kwmb umeshindwa kwenye govt sec school zen ndo tuhamie kwenye primary school [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]
 
Nataka nikusaidie.
Humu JF watu wanaakili zao.
Kwa mujibu wa namna ulivyojibu tayari nimekujua uwezo wako elimu.

Vilevile nakushauri jaribu kusoma zaidi na ujikite kwenye ujuzi wako.

Maswali nikiyokuwa nakuuliza ni ya kitoto sana. Wewe Maximum education uliyonao ni degree moja. Tunaita Basic Degree.

Halafu age yako ni btn 20 to 25.

Wewe ni pekee yako uliyesoma kwenye familia yenu.

Wazazi wako ni maskini wanakutegemea.

Hii ndiyo analysis yangu. Nikiendelea kukuhoji nitajua na sehemu unayokaa.
[emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka sana wabongo ni shida
 
So there are no Primary Schools in Tanzania to compare na za Kisumu[emoji23][emoji23]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] na vile walianzisha battle ya schools so confidently kumbe primary schools za kisumu zinachafua high school zao
 
Back
Top Bottom