President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,372
Aisee hii ni hali mbaya sana serikali ya Kenya haina shule za maana. Zote zinamilkiwa na either mtu au jumuiya.
Eti jumuiya wanaita public!!!? My God tangu lini kanisa likawa public entity!?
Je kanisa linakaguliwa na serikali mapato yake!?
Eti jumuiya wanaita public!!!? My God tangu lini kanisa likawa public entity!?
Je kanisa linakaguliwa na serikali mapato yake!?