Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Mikindani primary school, wanapost highschool zenye vumbi.
We nae umekazana na hiyo kindergarten daily.Mikindani primary school, wanapost highschool zenye vumbi.
View attachment 1668219View attachment 1668220
Nyie rangi ndo mmeshindwa kabisa kupaka, bei yake sh ngp kwn? Alafu bati km kawa yn Kenya na bati kama teja na unga















Nimeshaanza kucheka, yn shule zao ndo wamegoma kabisa kupiga rangi yn wanawafanya wanafunzi km watu wasiostaili mazingira bora, yn bora liende a.k.a jua kali type, nyingine hiyo wallahi mmeingia cha kike kwenye hii battle ya shule na hatoki mtuLeo ni siku ya kucheka. Ninauhakika leo mtacheka sana.


Nikusaidie. Ukiona neno St. Ujue shule hiyo siyo public ni ya kanisa.St Michael secondary school,View attachment 1668246View attachment 1668247
Nilikua sitaki kuwaponda lakini mmezidi na uchafu sasa.
Tunawajua nyie mnatumia karatasi kusafisha nyuma. Huwa mnatembea na kimba. Tumieni maji kujisafisha.Nilikua sitaki kuwaponda lakini mmezidi na uchafu sasa.




