pametulia sanaHizi picha nmepiga leo ni za mitaa ya kinondoni, yn roads za mitaani ziko bomba ile mby [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji204][emoji204][emoji86][emoji86][emoji87][emoji87][emoji85][emoji85][emoji90][emoji90]View attachment 1666983View attachment 1666984View attachment 1666985View attachment 1666986
leo mkuu umeamka vyema ksbisa....Magomeni market.View attachment 1667001View attachment 1667002
Yah na apo gari ilikuwa mwendo sn nmejaribu kutuliza mkono ili nisimuaibishe NDINDA [emoji2][emoji2][emoji2]leo mkuu umeamka vyema ksbisa....
camera ipo makini
SUNFLAG GROUP is a KENYAN COMPANY,Arusha factory is just a branch.Read HOME/SUNFLAGNgoja tuanze tena
Viwanda vya nguo Tanzania
Sunflag Tanzania Kipo Arusha
View attachment 1666790View attachment 1666791View attachment 1666792View attachment 1666793View attachment 1666794
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]SUNFLAG GROUP is a KENYAN COMPANY,Arusha factory is just a branch.Read HOME/SUNFLAG
Nilimchokonoa makusudi ili ajibu nimlipue, bahati mby kagutuka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
uache,ujiga na utoto,huko alitangulia kufungua ila kutangulia kufungua haimaanishi kuwa hizi ni branch....na bado anampango wa kukuza wigo wake eastern europe mpaka amerca
hivi unajua meaning of branch kweli....?
we ni chizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1667216
So unashindana au ???🤣🤣🤣🤣
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]shell, equinor, pavilion, exonmobil, tpdc wanataka kuingia kwenye development stage kule mtwara yaani watengeneze LNG plant. yaani kama ingekuwa kwenye mafuta ndio tungesema wanataka kujenga bomba sasa. hii LNG plant itagarimu dola 30 bilioni. mazungumzo yanaendelea na site ishapatikana inaitwa likong'o.
huwa wanaongea tu kama walevi hata hawafikirii mambo walitegemea companies ziendelee kustuck kenya tu kibiashara wakati miaka inaenda kampuni lazima zijikuze kibiashara .....wsnadhani hii ni 1950's[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Nilimchokonoa makusudi ili ajibu nimlipue, bahati mby kagutuka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa hivi nimewavulia kofia mkuu. So you are just right genius. Ununuzi haujawahi pitishwa bungeni ndugu Einstein.Ulipitishwa lini? Pia vile vile bado atcl haimiliki ndege imefilisika, bichwa nundu ndio katumia mabavu kununua hzo ndege zote mnazoziona bila kujali hili wala lile..
Sasa hapo unabishia nini wewe bwege
Sasa hivi nimeacha kulialia na kujiumiza. Nimeketi nakaanga bisi na kufurahia kipindi. Jiwe baada ya jiwe. [emoji1866][emoji1866][emoji1866][emoji1866]Mbona walialia na kujiumiza bure, unapaswa upinge kwa data[emoji1787][emoji1787]
Labda unambiw bunge la chato, 1.5 trillion hyo imechezewa bahati nasibu na wala hakuna wakuhoji[emoji1787]
Gor mahia wachezaji wanakimbia kama ilivyokuwa singida utd au ndanda fc!!!🤣🤣Huwa najiuliza hawa Huo Uchumi wao Mkubwa ni Upi!!
View attachment 1666370
Miaka 5 ijayo tukiwaambia zimefika 18k wasiseme hawakuona progress