Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hzi ni brand new mzee wamenunua scania tanzania zinatoka direct from sweden alaf fala anakwambia wana assemble scania truck mamaee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1666128View attachment 1666129View attachment 1666130View attachment 1666131
Kakojoe ulale kubishana na wewe ninujinga tu..
Unaambiwa ulete assemble plant ya scannia tz wewe unaleta za ku import, kwn hyo si hata south sudan wanafanya..

Sio kila wakati ni wa kufanyika ujinga
 
Kwani hujui huyu mwarabu wa pemba haelewi kiingereza?
Mjinga achana nae
20210103_034302.jpg
 
jamaa akiona neno Scania Kenya anakenua meno yote nje anadhan eti ndo Assembly ipo huko[emoji23][emoji23] unaambiwa lete sehem palipoandikwa assembly in kenya unakimbilia kuleta neno ‘Scania Kenya’🤦🏽‍♂️[emoji23] nigga grow up! leta palipoandikwa Assembly in Kenya
 
Back
Top Bottom