Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another interchange u/c Eldoret
images (79).jpeg
images (78).jpeg
 
Hayo magari mnayosema mnaassemble mnauzia wapi?

Hayo masufuria mnayoita mabus hata Kilimanjaro wanayatengeneza vizuri kabisa kwa miaka mingi mno
Akuoneshe hio assembly plant ya scania 🤣🤣🤣🤣
 
This is body building and not assembling. Wewe ni fala hata kuliko kondoo[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Then show me where is assembly plant ya scania in kenya mm nasubiri 🤣🤣🤣🤣 yani sikupata kukutana na mtu kilaza wa level yako
 
Hata Kisumu kuna kampuni ya body building[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Yeye anadhani body building ndio assembling[emoji1787][emoji23][emoji23]
Mm nataka unioneshe plant assembly ya scania ina kenya wallah nahapa ukipata mm nafunga acc jamii forum 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Na mkenya yoyote atakaepata assembly plant ya scania in kenya naomba musisite kupost hapa 😄😄😄😄😄 musiogope
 
Assembly ya scania iko moja tu africa nayo ni south africa 🤣🤣🤣🤣 mtu anakuja anaongea upuuzi tu

 
Back
Top Bottom