Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukidhani nakudanganya basi angalia hii basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]. This bus was assembled by Banbrose East Africa pale Mombasa road[emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa kiboko..
Utawaliza jamani tosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FB_IMG_16096218774429534.jpeg
 
Najua inakuuma kuwa magari za scania are being assembled in Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]. Ebu angalia hiyo wall pale nyuma alafu uniambie kama hiyo scania[emoji23][emoji23]. All these vehicles were assembled in Nairobi pale Mombasa road.[emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 1666037View attachment 1666038View attachment 1666039View attachment 1666040View attachment 1666041
Kwamba kenya ina assemble scania truck mm hutanidanganya kama ni body za scania zinafanyika kila aina ila usitudanganye assembly🤣🤣👇👇
BA57AD56-2426-4F7C-AE9E-ABCB31CF769F.jpeg

 
Mbona unasumbuana na hawa watu hivi? Wanatamani wawe nazo but they can't. That's their main problem
Anasumbua au anajichoma vidole 🤣🤣🤣👇👇👇
Hili ni bus la kampuni kenya wamenunua kutoa dar coach 🤣🤣🤣👇👇👇👇
View attachment 1666100View attachment 1666101
Ndio kenyatta alivowadanganya hvo 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇

View attachment 1666099
Maneno mengi alaf zero brain 🤣🤣👇👇

 
Back
Top Bottom