Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anakuja kilaza anasema Tuna watumiaji wa Interenet fyoko fyoko Africa
Screenshot_20201231-161859.png
 
Kwa hivyo mazungumzo ya upatanishi ni mavi mtupu. Kuhost wakimbizi wa SS ni upuuzi mtupu. Haina umuhimu wowote? Sisi kuwaleta mirengo tofauti yaliyokuwa yanapigana against each other into one group ni upuuzi mtupu? Kama Riek Machar na wenzake hawangekubali kumuunga mkono kiongozi mmoja (John Garang) basi nchi hii mpya ingepatikana kweli? Bila umoja hakuna progress ambayo ingefanyika
South Sudan ilikombolewa kwa mtutu wa bunduki, mchango wa mazungumzo ni mdogo sana, huwezi kulinganisha Uganda ambayo wanajeshi wake walipoteza maisha ndani ya South Sudan, Hospitali zao zilijaa majerui wa Vita, chakula na Uchumi wa Uganda ulibeba gharama za vita vya ukombozi wa South Sudan, na Kenya ambayo ilichangia katika upatanishi, mchango wa Uganda ni mkubwa zaidi ya mara kumi ukilinganisha na Kenya.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana tulikataa mkopo wao wa SGR yetu na ujenzi wa bandari ya bagamoyo. Sisi miradi yetu tunayowapa wachina kujenga tunawasimamia barabara kabisa maana tunawajua uhuni wao ukiwaacha wafanye wenyewe. Kinachowaletea shida hawa jirani zetu ni rushwa na ukiritimba uliokithiri. Wapo radhi kuweka nchi yao rehani kwa sababu ya njaa za watu wachache!
Uwezo wa wakenya ki akili ni mdogo Sana,

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Weka ushahidi kuthibitisha hilo

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile
Nani aliyesema Tanzania hatukopi?, tuna sema katika miradi mikubwa hii ya ujenzi wa SGR, Rufiji hydroelectricity na Dar- Kibaha Super highway, tunatumia pesa yetu. Bado tunakopa katika miradi mingine, kumbuka Tanzania sio hiyo miradi mitatu pekee, kuna kusambaza MAJI, umeme na gas mijini na vijijini, barabara, madaraja kama la "New slender bridge".

Kitu muhimu ni kwamba tunajatibu sana kupunguza mikopo hasa " commercial loans', ndio sababu hadi leo Debt/GDP ni chini ya 40%, ambacho ni kiwango cha juu kinachopendekezwa kwa developing countries, wakati Kenya ipo kwenye 60% sasa, ni Hatari sana kwa Kenya.
Your own statement last year
 
South Sudan ilikombolewa kwa mtutu wa bunduki, mchango wa mazungumzo ni mdogo sana, huwezi kulinganisha Uganda ambayo wanajeshi wake walipoteza maisha ndani ya South Sudan, Hospitali zao zilijaa majerui wa Vita, chakula na Uchumi wa Uganda ulibeba gharama za vita vya ukombozi wa South Sudan, na Kenya ambayo ilichangia katika upatanishi, mchango wa Uganda ni mkubwa zaidi ya mara kumi ukilinganisha na Kenya.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Eti jeshi la Uganda lilikuwa linapigana na kufa ndani ya Sudan?
 
Your own statement last year
Onyesha wapi tulipinga kwamba Standard Chartered hawakutoa pesa, wakati hii Post yangu ninaiandika, bado mkopo wa Standard Chartered ulikua haujatoka. Unapaswa kuonyesha "statement" iliyopinga kwamba Standard Chartered haikutoa pesa kujenga SGR Tanzania

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Eti jeshi la Uganda lilikuwa linapigana na kufa ndani ya Sudan?
Hadi ilipotokea vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Riack Machar na Salvar Kiir miaka ya hivi Karibuni, UPDF ndio walikwenda kumsaidia Salvar Kiir.

Historia ya Ukombozi wa South Sudan na Uganda, ni sawa sawa na Msumbiji na Tanzania. Tanzania ilishaidia kuikomboa Msumbiji toka kwa wareno, lakini vita vya FRELIMO na RENAMO vilipoonyesha FRELIMO inazidiwa nguvu, TPDF walikwenda kuzima majeshi ya RENAMO, hivi majuzi tulikwenda kuzima Mujahidina, ndivyo ilivyo Uganda na South Sudan.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Onyesha wapi tulipinga kwamba Standard Chartered hawakutoa pesa, wakati hii Post yangu ninaiandika, bado mkopo wa Standard Chartered ulikua haujatoka. Unapaswa kuonyesha "statement" iliyopinga kwamba Standard Chartered haikutoa pesa kujenga SGR Tanzania

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Black bla bla... beating about the bush
 
Hadi ilipotokea vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Riack Machar na Salvar Kiir miaka ya hivi Karibuni, UPDF ndio walikwenda kumsaidia Salvar Kiir.

Historia ya Ukombozi wa South Sudan na Uganda, ni sawa sawa na Msumbiji na Tanzania. Tanzania ilishaidia kuikomboa Msumbiji toka kwa wareno, lakini vita vya FRELIMO na RENAMO vilipoonyesha FRELIMO inazidiwa nguvu, TPDF walikwenda kuzima majeshi ya RENAMO, hivi majuzi tulikwenda kuzima Mujahidina, ndivyo ilivyo Uganda na South Sudan.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wewe unaongea kuhusu muda upi? Unaongea kuhusu kabla au baada ya SS kupata Uhuru?
 
Back
Top Bottom