Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

guys, kumbe hamjaweza kuiona hii video!!

angalien hii video.. hipo kwenye hii thread
Nashindwa kuiangalia hii video.
 
Kenya ndio ilichangia sana kushinda nchi yoyote Afrika kwa South Sudan kujitenga kutoka Sudan. Hata John Garang alikuwa anaishi Kenya na familia yake pia ilikuwa inaishi Kenya. Halafu peace Agreement ya kwanza kabisa ambayo watu wa SS walisign ili kuwaleta pamoja wapiganaji tofauti wa SS, nadhani mwaka wa 2005, ulisainiwa Naivasha hapa Kenya. Kwa hivyo sisi tumechangia pakubwa kwa SS kuwa nchi huru kushinda nchi yoyote ile. Endeleeni na wimbo wenu wa CCM "Tuliikomboa Afrika."

Acha upumbavu wewe "MAKU"!

John Garang, alisomea kwanzia Secondary Tanzania na pia Dar es salaam University, na baada ya kuhitim na kwenda nje alifuindisha pia hapo UD.

"He joined the rebel forces in the First Sudanese Civil War in 1962, but was encouraged to continue his education, first in Tanzania and then, after winning a scholarship, to study economics at Grinnell College in Iowa, USA. He returned to Tanzania to read East African Agricultural Economics as a Thomas J Watson Fellow at the University of Dar es Salaam (UDSM), where he joined the University Students’ African Revolutionary Front." for more on John Garang

He might have lived there but isnt where real shit begun.

Tanzania is a real Revolutionary land. Nearly no significant figure much respected by the world today never lived or worked in Tanzania - from: Che Guavara, Mandela, Martin Luther King, MalcomX to Vlamir PUTIN.
 
Mwanza iko poa snaaaa[emoji91][emoji91][emoji91]
Screenshot_20201231-182251.jpg
Screenshot_20201231-181611.jpg
Screenshot_20201231-181528.jpg
Screenshot_20201231-181509.jpg
Screenshot_20201205-170130.jpg
Screenshot_20201205-170102.jpg
 
Kenya ndio ilichangia sana kushinda nchi yoyote Afrika kwa South Sudan kujitenga kutoka Sudan. Hata John Garang alikuwa anaishi Kenya na familia yake pia ilikuwa inaishi Kenya. Halafu peace Agreement ya kwanza kabisa ambayo watu wa SS walisign ili kuwaleta pamoja wapiganaji tofauti wa SS, nadhani mwaka wa 2005, ulisainiwa Naivasha hapa Kenya. Kwa hivyo sisi tumechangia pakubwa kwa SS kuwa nchi huru kushinda nchi yoyote ile. Endeleeni na wimbo wenu wa CCM "Tuliikomboa Afrika."

Pamoja na yote hayo, do you think Kenya is a trusted friend of SS?
 
Acha upumbavu wewe "MAKU"!

John Garang, alisomea kwanzia Secondary Tanzania na pia Dar es salaam University, na baada ya kuhitim na kwenda nje alifuindisha pia hapo UD.

"He joined the rebel forces in the First Sudanese Civil War in 1962, but was encouraged to continue his education, first in Tanzania and then, after winning a scholarship, to study economics at Grinnell College in Iowa, USA. He returned to Tanzania to read East African Agricultural Economics as a Thomas J Watson Fellow at the University of Dar es Salaam (UDSM), where he joined the University Students’ African Revolutionary Front." for more on John Garang

He might have lived there but isnt where real shit begun.

Tanzania is a real Revolutionary land. Nearly no significant figure much respected by the world today never lived or worked in Tanzania - from: Che Guavara, Mandela, Martin Luther King, MalcomX to Vlamir PUTIN.
Unaniita Maku? Au ulimaanisha ya mamako? Jiulize mbona flag ya South sudan inafanana na ya Kenya. Kama nyie ni muhimu kwao mbona hawakucopy flag yenu?

Flag ya Kenya
images (2).jpeg

Flag ya South Sudan
images (1).jpeg

Cc joto la jiwe
Geza Ulole
 
Back
Top Bottom