Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Article ya 2007
Pwahahaha Leo ninakugonga mpaka uingie mitini. Nakupeleka slow slow tu mpaka uniogope
Screenshot_20201231-131119.png


Commuter Rail hahahahaha
 
Hakuna mtu aliyekataa, wewe ndio unakataa unapoambiwa kwamba pesa ya Standard Chartered imelipia kipande cha kutoka Morogoro to Dodoma, ambacho thamani yake ni $1.9B, na GoT imechangia $0.5B katika hicho kipande. Kipande cha Dar hadi Morogoro chenya kugharimu $1.2B ni pesa yetu 100%.

Wewe thibitisha kama kuna pesa yoyote iliyotoka kuchangia hiyo $1.2B. Lazima utuwekee "signing evidence" ya makabidhiano ya hiyo pesa, sio maneno ya magazetini, tuliahidi na nchi nyingi sana lakini hatukufanikiwa hata sehemu moja isipokua Standard Chartered, AfDB pia wameahidi kutoa lakini hadi sasa hawajotoa PESA.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Do you remember the time mlikataa involvement ya standard chartered bank kwenye huo mradi na kusema pesa zote ni za ndani??
 
Pictures za sign up ceremony kwenye ile ya standard chattered zimepatikana, kwanini hizi za turkey zinakua hazipo? Unateseka mpaka raha 😅😅😅
Kwani involvement ya standard chartered bank mliwahikubali hapa? Si kuna hadi baadhi yenu mlihapa kwamba huo mradi sio wa mkopo!
 
Another old picture. All Railway tracks in Nairobi were rehabilitated including ya Kibra. Pichako inaonyesha old line with people selling clothes kando ya lines which is not the norm this year. Tafuta picha ingine tena nikuabishe
Pwahahaha Leo ninakugonga mpaka uingie mitini. Nakupeleka slow slow tu mpaka uniogope
View attachment 1663720

Commuter Rail hahahahaha
 
Typically cowshade
Nyinyi mkijenga zile ugly stations zenu za sgr mnasema ni kulingana na mahitaji. Sisi tukijenga commuter stations kulingana na mahitaji zetu mnawashwa. Nyinyi ni viumbe vya ajabu sana
 
Back
Top Bottom