The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Weka ushahidi kwamba mnatuzidi.
Weka ushahidi kwamba mnatuzidi.
Lete data za 2020, hizo ni data za 2017 zilitolewa 2018. Lazima ukubali ukweli na upunguze wivu.Wacha ujinga. Nimesoma number 9 nikawachana na wewe. Wewe ni wazimu.
World bank wenyewe wamesema mna one of the lowest electrification rates in Africa. Kenya tumewadouble. Mauritius na Seychelles wamewatriple. Naona hupendi facts siku hizi. Siku hizi unaishi kwenye dunia yako. Huheshimu facts kama zamani. Kudebate na wewe inakosa ladha sana.
Access to electricity (% of population)Sub-Saharan Africa
Access to electricity (% of population) - Sub-Saharan Africa
World Bank, Sustainable Energy for All ( SE4ALL ) database from the SE4ALL Global Tracking Framework led jointly by the World Bank, International Energy Agency, and the Energy Sector Management Assistance Program.
License : CC BY-4.0
LineBarMap
Also ShowShareDetails
LABEL
![]()
2018201720162015201420132012201120102009200820072006200520042003200220012000199919981997199620182017201620152014201320122011201020092008200720062005200420032002200120001999199819971996
- Access to electricity, urban (% of urban population)
![]()
- Access to electricity, rural (% of rural population)
![]()
- Electricity production from oil sources (% of total)
![]()
- Electricity production from renewable sources, excluding hydroelectric (kWh)
![]()
- Electricity production from nuclear sources (% of total)
![]()
- Electric power transmission and distribution losses (% of output)
![]()
- Electricity production from oil, gas and coal sources (% of total)
![]()
- Electricity production from coal sources (% of total)
![]()
Download
CSVXMLEXCEL
DataBank
Online tool for visualization and analysis
WDI Tables
Thematic data tables from WDI
Selected Countries and Economies
Country
Most Recent Year
Most Recent Value
Sub-Saharan Africa
2018
47.7
Sub-Saharan Africa
Country
Most Recent Year
Most Recent Value
Zimbabwe
2018
41.0
Zambia
2018
39.8
Uganda
2018
42.6
Togo
2018
51.3
Tanzania
2018
35.6
Sudan
2018
59.8
South Sudan
2018
28.2
South Africa
2018
91.2
Somalia
2018
35.3
Sierra Leone
2018
26.1
Seychelles
2018
100.0
Senegal
2018
67.0
Sao Tome and Principe
2018
71.0
Rwanda
2018
34.7
Nigeria
2018
56.5
Niger
2018
17.6
Namibia
2018
53.9
Mozambique
2018
31.1
Mauritius
2018
97.5
Mauritania
2018
44.5
Mali
2018
50.9
Malawi
2018
18.0
Madagascar
2018
25.9
Liberia
2018
25.9
Lesotho
2018
47.0
Kenya
2018
75.0
Guinea-Bissau
2018
28.7
Guinea
2018
44.0
Ghana
2018
82.4
Gambia, The
2018
60.3
Gabon
2018
93.0
Ethiopia
2018
45.0
Eswatini
2018
76.5
Eritrea
2018
49.6
Equatorial Guinea
2018
67.0
Cote d'Ivoire
2018
67.0
Congo, Rep.
2018
68.5
Congo, Dem. Rep.
2018
19.0
Comoros
2018
81.9
Chad
2018
11.8
Central African Republic
2018
32.4
Cameroon
2018
62.7
Cabo Verde
2018
93.6
Burundi
2018
11.0
Burkina Faso
2018
14.4
Botswana
2018
64.9
Benin
2018
41.5
Angola
2018
43.3
![]()




Hii ni alert tosha kuwa tuna speed nzuri na tunawapita,nyie yenu ime stuck haisogei.
Hoja kwisha huyu, 🤣 🤣 🤣 🤣 usiniogope siumi watu🤣Ona hili choko![]()
Stop bragging you haven’t fought any war on your southern border.FAKE VICTORY !We are tired of these tantalila, what we want is to see total victory and Alshabaab to be a history like those Mujahidina in Mozambique, we managed to defeat them in less than a month, why can't you defeat Alshabaab once and forever?
Wanatumia akili za kwenye buttucks
Wacha kujifanya mjuaji Sana, nani aliyekuambia hakuna grade ya "F"?, tatizo lenu ninyi wakenya ni kutokujua mambo ya nchi zingine, ninyi mnadhani kila linalofanyika Kenya ndio nchi zote zipo hivyo, unataka Nipige picha ya "Form 4 Certificate "yangu nikuonyeshe grade zangu ili uhakikishe hizo "F" nilizopata?Hamna grade la F. Mbona unaongopea? Halafu ulisema wewe ni mwalimu aliye-retire. Sasa uliwezaje kusomea uwalimu ikiwa ulifeli somo la hisabati? Hilo linawezekana kweli?
HahahaaaaLete data za 2020, hizo ni data za 2017 zilitolewa 2018. Lazima ukubali ukweli na upunguze wivu.
By 2015 tulikua tumeunganisha vijiji 2,000 pekee, by June 2020 tunefikisha vijiji 9000 kati ya vijiji 12,000.
Tafadhali lete data za 2020, kumbuka tupo 2021, vipi unaleta data za 2018?. By 2018 tulikua bado tupo LDC na tulitegemea kufikia uchumi wa kati by 2025, lakini tumefika miaka mitano kabla ya wakati.
Kubali au kataa lakini Tanzania inaongoza Afrika kwa sasa katika kasi ya kusambaza umeme na maji hapa Afrika ukiacha zile nchi ambazo zimeshafikia Universal electrification
Mwaka huu wa 2021, WB na UNDP watatoa update mpya ndio utabaki na hasira na utajificha Kibera
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Tumeshawakamata 2020,usijeshangaa tumewapita kabisa.Kapekue takwimu za 2020.
.
Askari unapata wapi muda wa kubeba smartphone km huyo shoga wa kulia apo.
Hahahaha, tulikua busy kujenga misingi imara ya nchi yetu, tulikua busy kufuta ukabila na kutokomeza rushwa na kuiweka ardhi chini ya mamlaka ya wananchi wote, tulikua busy kuikomboa Africa. Hivi sasa nchi imetulia juu ya msingi imara wa uzalendo, upendo na amani, sasa hivi tunajenga uchumi endelevu.2018 tulikuwa tumewadouble kwenye usambazaji wa umeme. Sasa si ufunge mdomo.
Kumbe prediction!
Yni kuna wajinga ila ww ni mpumbavuHuu uzi tumekubali ujinga sana, tangu lini construction board ikawa evidence.





Miaka ya nyuma "Division 4" tulikua tunakwenda vyuo vya Ualimu, siku hizi ni tofauti, wasomi wamekua wengi Sana.Ukipata E kwenye hesabu utafikisha vipi average grade ya kuwa admitted katika shule ya uwalimu? Maana kuna average grade ambayo lazima ufikishe ili uwe admitted
Saa piga picha mkuu. Na uhakikishe umeziba jina lako. Sitaki ujianike humu.Wacha kujifanya mjuaji Sana, nani aliyekuambia hakuna grade ya "F"?, tatizo lenu ninyi wakenya ni kutokujua mambo ya nchi zingine, ninyi mnadhani kila linalofanyika Kenya ndio nchi zote zipo hivyo, unataka Nipige picha ya "Form 4 Certificate "yangu nikuonyeshe grade zangu ili uhakikishe hizo "F" nilizopata?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hii mpaka ikamilike,ianze kutoa faida ni lini?
Nimeshaweka ushahidi wa world bank hapo juu inayosema Kenya ina 75% electrification rate. Tatizo lako hupendi kusoma data za World Bank lakini unataka kuniwekea takataka fulani eti sijui electricity map ya Africa. Grow up.Weka ushahidi kwamba mnatuzidi.