Wacha drama nakunipotezea mudaSo if that's false data what makes the data you guys were using be legit? If data is positive to tanzania you glorify it if it says something negative it becomes fake data hehe pliiiiz
Au sio [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1663283We hata unaelewa urban population growth inamaanisha nini? Hiyo inaonyesha watanzania wengi wanatorojea mjini maanake mikoani kubovu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe mlevi hata hueleweki, aliyemuelewa huyu mlevi plz.
😂😂😂😂😂😂🙂we ulisomea kwa dirisha the word urbanization is a noun on itself. What you were talking about was urban population growth . ... now google urban population growth meaning you will know the diffrenceAu sio [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1663283View attachment 1663284
Hawa jirani zetu huwa wakiona kitu kama hii huwa wanaumia sana sema tu hawawezi kufunguka. Ingekuwa wao ndio wana BRT ya namna hii ungesikia "The only super BRT in east and central Africa" 😁 😁 😁Wakenya mtafika lini uku View attachment 1662895
Kipindi hichi cha baridi, huwa kuna flu sana, hivyo virusi vya Corona navyo vinapata nafasi ya kuenea kirahisi.Umeitoa wap iyo dingi pole sana
Katiba ya Tanzania iko wazi kabisa kuwa Tanzania ni nchi ya kijamaa.Wewe umechanganyikiwa. Tanzania iliwacha kuwa nchi ya kijamaa zaidi ya miaka ishirini iliyopita. Wewe hata hujui historia ya nchi yako. Yaani bado unafikiri kuwa Tanzania ni socialist country? Baada ya Mwalimu Julius Nyerere kufariki, Watanzania walikaa chini na kujadiliana na kukubaliana kuwa mfumo wa ujamaa sio nzuri kwa uchumi wa Tanzania na Tanzania ikaamua kubadili mfumo wa uchumi kutoka socialist hadi capitalist. Jifunze historia ya nchi yako kabla uje kudebate na mimi.
BRT mtaimba hadi lini sisi tuna super highways hujaskia tukisema sahii nisha anzisha commuter trains instead of BRT na hujaskia tukisema sasa BRT ndo inaleta raslimaliHawa jirani zetu huwa wakiona kitu kama hii huwa wanaumia sana sema tu hawawezi kufunguka. Ingekuwa wao ndio wana BRT ya namna hii ungesikia "The only super BRT in east and central Africa" 😁 😁 😁
Au sio[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji846]we ulisomea kwa dirisha the word urbanization is a noun on itself. What you were talking about was urban population growth . ... now google urban population growth meaning you will know the diffrence
Hivi mapato yenu kwenye utalii ni dollar ngp vilee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]BRT mtaimba hadi lini sisi tuna super highways hujaskia tukisema sahii nisha anzisha commuter trains instead of BRT na hujaskia tukisema sasa BRT ndo inaleta raslimali
Tanzania has an area of more than 945,000 kmsq while kenya has an area of 580,000 kmsq, so what's your point?Kenya has only 18 known airports
Tanzania has 21
Fimbo baada ya fimbo. Chato ikisajiliwa zinafika 22
View attachment 1663181View attachment 1663182
Unaongelea hiyo mitumba inayotembea kwenye vyuma chakavu (mgr) kama inakata viuno? Sasa super highway ndio BRT au umekunywa chang'aa leo?BRT mtaimba hadi lini sisi tuna super highways hujaskia tukisema sahii nisha anzisha commuter trains instead of BRT na hujaskia tukisema sasa BRT ndo inaleta raslimali
Kinacho nifurahisha ni nilidhani ulikosea kumbe you keep proving you ment it.... replace the word urbanization with developing and the word urban with "developed areas" Sasa hivo najua utaelewaAu sio[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1663291
Hamna jipya kila siku BRT, brt nyerere bridge na posta hvyo tu ndo mi huskia kila siku kufika kwenyu mbona musiongelee city kama innovation ama manufacturing vitu ambavyo vinaongeza raslimaliUnaongelea hiyo mitumba inayotembea kwenye vyuma chakavu (mgr) kama inakata viuno? Sasa super highway ndio BRT au umekunywa chang'aa leo?
Umetepeta...Tanzania has an area of more than 945,000 kmsq while kenya has an area of 580,000 kmsq, so what's your point?
Pole sana kaka.Asante.
Nimeweka hapa kwasababu ni kijiweni, huko kwengine niliacha kutembelea sana kwasababu ya wadau wengi kuwa na mitazamo hasi na maendeleo ya nchi yetu. Hapa ukiacha utani na vijembe huwa tunapeana taarifa za maendeleo.
Ni kweli kitakwimu Tanzania hakuna Corona, hii inachangiwa na vitu vingi kama hali ya hewa (joto), vyakula vya asili, kiasi cha UV light kilichopo na herd immunity inayotokana na young population kubwa (85% below 25yrs).
Pia Tanzania huwa haikubali chanjo za hovyo hovyo, baadhi ya hizi chanjo huwa zinapunguza immunity. Kuna study moja iliyofanyika US ikionesha watu waliopata flu shot mwaka jana walipopata Corona ilibidi wawekwe kwenye ventilators.
Kimsingi mfumo wa kijamaa wa Tanzania umeundwa ku encourage sekta binafsi nyingi ndogo ndogo, hivyo collectively sector binafsi ni kubwa. Tanzania haiendekezi ukiritimba (monopoly) na kama itatokea mtu mmoja akaaanza kuota mapembe (mf kuhodhi mashamba mengi makubwa) basi juhudi zitafanyika kuyakata hayo mapembe yake.Kwa hivyo Tanzania nyie hamna private companies kubwa? Ndio maana nimekuwa nikisema kuwa private sector ya Tanzania ni ndogo sana.
Embu leta mfano wa jengo limejengwa na serikali we fukara kutoka kunyaA third meaning two thirds are okay not a bad rating better than being in the top 20 poorest countries in the world hehe tanzania is poor just that it its government builds structures that don't really add much to the economy and you call that development development is more than just infrustracture don't behave like a poor man who wears suits.....
Jieleze vyema sijakuelewaEmbu leta mfano wa jengo limejengwa na serikali we fukara kutoka kunya
Ww uko emty sana tuliza kende fwatilia kwanza alfu ndio uchangieBRT mtaimba hadi lini sisi tuna super highways hujaskia tukisema sahii nisha anzisha commuter trains instead of BRT na hujaskia tukisema sasa BRT ndo inaleta raslimali